Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hakuna ubishi kesho crotia anapigwa kiurahisi sana na france kante,pogba,mbape ,matuidi na greizman hapa mziki ndipo ulipo ukiacha bek mbili na tatu ambao wapo makini wakati wao crotia wakitegemea juhudi binafsi za luka modric tu.

Tumeona mechi ya nusu fainali ambapo sterling aliwakimbiza sana wakina lovren ni ile hali ya kukosa udhoefu ndicho kilichowagharimu sina shaka kesho na spidi ya mbape ambaye atakuwa mwiba mkali sana kwa wale wazee wa crotia

France tuanze kushangilia ubingwa wa dunia mapema.
Vijana wa sikuhizi kujiapiza mnapenda sana wenzio walitabiri hivyo fainali ya Champions league mwezi May baadhi wakaishia kujiuwa na wewe utapata unachokitafuta
 
Rebic, Brozovic naona mtoa mada hajawahi kuwaangalia croatia.
CROATIA wanajituma sana hawakati tamaa kirahisi.
Yes Jamaa naona hajawafatilia vizur crotia..!! Sioni kama mfaransa anaweza mtisha..Subiria maajabu haka ka nchi kadogo
 
Rebic, Brozovic naona mtoa mada hajawahi kuwaangalia croatia.
CROATIA wanajituma sana hawakati tamaa kirahisi.
Vyombo vya habari vya ulaya wao wanamuongelea Mbape,Pogba wakati Croatia wana wachezaji wazuri pia kutoka Madrid, Bayern,Fiorentina,Barcelona,Liverpool yaani vikosi vyote vina watu ila karata naiweka kwa wa Croatia maana hawakati tamaa na wanaweza kufunga hata wakiwa wawili mbele...
 
Vijana wa sikuhizi kujiapiza mnapenda sana wenzio walitabiri hivyo fainali ya Champions league mwezi May baadhi wakaishia kujiuwa na wewe utapata unachokitafuta
Haaa mikwara mingine bwana kwakuwa hujapenda kukisikia kila unachopenda kwenye gemu kitambo kwani akishinda crotia kuna tatizo?

Mpira ni tambo na furaha ukichukulia serious umeumia mpira sio msiba ushindwe kuficha hisia zako mshindi lazima apatikane iwe crotia au france post yako haina maaana imejaa mkwara simamia unachoamini kajiua kwa mpango wake over.
 
Sawa mtoto mzuri staki nikuuzi ukashindwa kunyonyesha watoto tulia basi wanaume tujadili mambo ya maana maana kwa ugonjwa wako wa mtambuka ni hatari
Una sura nyororo halafu unaonekana kifaa haswa. Tena na kahereni sikioni, duh.
 
Back
Top Bottom