radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,440
- 32,260
Sawa wife wacha niondoke usijeninyima unyumba bure.Kwenda zako huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa wife wacha niondoke usijeninyima unyumba bure.Kwenda zako huko.
Unawaza wife kila saa. Umeolewa?Sawa wife wacha niondoke usijeninyima unyumba bure.
Mkuu sijaichukulia poa ila na mm naliamini chama langu usilichukulie poausiichukulie Crotia Poa..narudia tena usiichukurie crotia Poa..Nimemaliza
Mama watoto tuliza mzuka hadi majirani wajue kweli?Unawaza wife kila saa. Umeolewa?
Vijana wa sikuhizi kujiapiza mnapenda sana wenzio walitabiri hivyo fainali ya Champions league mwezi May baadhi wakaishia kujiuwa na wewe utapata unachokitafutaHakuna ubishi kesho crotia anapigwa kiurahisi sana na france kante,pogba,mbape ,matuidi na greizman hapa mziki ndipo ulipo ukiacha bek mbili na tatu ambao wapo makini wakati wao crotia wakitegemea juhudi binafsi za luka modric tu.
Tumeona mechi ya nusu fainali ambapo sterling aliwakimbiza sana wakina lovren ni ile hali ya kukosa udhoefu ndicho kilichowagharimu sina shaka kesho na spidi ya mbape ambaye atakuwa mwiba mkali sana kwa wale wazee wa crotia
France tuanze kushangilia ubingwa wa dunia mapema.
Kumbe naongea na mama watoto? Duh.Mama watoto tuliza mzuka hadi majirani wajue kweli?
Yes Jamaa naona hajawafatilia vizur crotia..!! Sioni kama mfaransa anaweza mtisha..Subiria maajabu haka ka nchi kadogoRebic, Brozovic naona mtoa mada hajawahi kuwaangalia croatia.
CROATIA wanajituma sana hawakati tamaa kirahisi.
Vyombo vya habari vya ulaya wao wanamuongelea Mbape,Pogba wakati Croatia wana wachezaji wazuri pia kutoka Madrid, Bayern,Fiorentina,Barcelona,Liverpool yaani vikosi vyote vina watu ila karata naiweka kwa wa Croatia maana hawakati tamaa na wanaweza kufunga hata wakiwa wawili mbele...Rebic, Brozovic naona mtoa mada hajawahi kuwaangalia croatia.
CROATIA wanajituma sana hawakati tamaa kirahisi.
hahahaha...kesho usisasahu kurudi kutoa mrejesho hapaMkuu sijaichukulia poa ila na mm naliamini chama langu usilichukulie poa
Haaa mikwara mingine bwana kwakuwa hujapenda kukisikia kila unachopenda kwenye gemu kitambo kwani akishinda crotia kuna tatizo?Vijana wa sikuhizi kujiapiza mnapenda sana wenzio walitabiri hivyo fainali ya Champions league mwezi May baadhi wakaishia kujiuwa na wewe utapata unachokitafuta
Kama kawa mkuu akishinda crotia ntapongeza mpira ni mchezo wa wazi hauna kificho ila mikwara ipo tuhahahaha...kesho usisasahu kurudi kutoa mrejesho hapa
Hutaki kuonekana mwanamke sasa tulia mama watoto nyonyesha kwanza watoto uje huku kibarazani kwa nini unajipitisha tulipokaa wamaume na wewe?Kumbe naongea na mama watoto? Duh.
Ha ha ha, unawaza kunyonyesha tu. Huna kingine cha kufanya?Hutaki kuonekama mwanamke sasa tulia mama watoto nyonyesha kwanza watoto uje huku kibarazani kwa nini unajipitusha tulipolaa wamaume na wewe?
Sawa mtoto mzuri staki nikuuzi ukashindwa kunyonyesha watoto tulia basi wanaume tujadili mambo ya maana maana kwa ugonjwa wako wa mtambuka ni hatariHa ha ha, unawaza kunyonyesha tu. Huna kingine cha kufanya?
Una sura nyororo halafu unaonekana kifaa haswa. Tena na kahereni sikioni, duh.Sawa mtoto mzuri staki nikuuzi ukashindwa kunyonyesha watoto tulia basi wanaume tujadili mambo ya maana maana kwa ugonjwa wako wa mtambuka ni hatari
sawaHahaha mjiandae kisaikolojia mkuu.
Unajua kuchunguza vizur wanaume mke wangu kwa hilo nakupongeza sana kilichobaki uzae mtoto mwingine wa pili tuUna sura nyororo halafu unaonekana kifaa haswa. Tena na kahereni sikioni, duh.
Chakla mdebwedo wewe.Unajua kuchunguza vizur wanaume mke wangu kwa hilo nakupongeza sana kilichobaki uzae mtoto mwingine wa pili tu
Ndo ulichonipikia mke wangu chakula cha leo?Chakla mdebwedo wewe.