Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

FRANCE, FRANCE, FRANCE, leo sina budi kumsaliti Modric, kinachokera France ni kumuanzisha Giroud pale mbele kila siku wakati ana mchezo wa kawaida sana.
 
FRANCE, FRANCE, FRANCE, leo sina budi kumsaliti Modric, kinachokera France ni kumuanzisha Giroud pale mbele kila siku wakati ana mchezo wa kawaida sana.
Kitu pekee anachofanya na chenye faida na timu ni kuweza kuhold mpira kwa ajili ya Mbape na Griezman

Hilo tuu ndo linamfanya aanzishwe
 
Kwanini unataka kujiumiza bila sababu?

France ndo timu haiwezi kukudissapoint [emoji23]
Kombe hili anachukua France bila Wasiwasi wowote...ujue Croatia kakutana na Mzoefu...utaona kitakachotokea...
 
Paka huyu ajawai kosea
37179943_1329099510558246_6933396960409812992_n.jpg
 
Back
Top Bottom