Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahau,kipindi cha kwanza tu mtapigwa mbiliMapema leo tunachuuaa
Crotia
kàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!Upande upi huo?
Fuata moyo wako, faida ake ni kwamba hata ukipoteza there is always no regrets.kàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!
Kitu pekee anachofanya na chenye faida na timu ni kuweza kuhold mpira kwa ajili ya Mbape na GriezmanFRANCE, FRANCE, FRANCE, leo sina budi kumsaliti Modric, kinachokera France ni kumuanzisha Giroud pale mbele kila siku wakati ana mchezo wa kawaida sana.
Kwanini unataka kujiumiza bila sababu?kàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!
Karibu Croatia.Tii sauti yako.kàmoyo kananipeleka kwa Croatia jamani.....moyo huu!!
Leo huenda mkashinda...France
Kombe hili anachukua France bila Wasiwasi wowote...ujue Croatia kakutana na Mzoefu...utaona kitakachotokea...Kwanini unataka kujiumiza bila sababu?
France ndo timu haiwezi kukudissapoint [emoji23]
Chukua Croatia mkuu.Leo sina timu
Leo huenda mkashinda...