Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kitu pekee anachofanya na chenye faida na timu ni kuweza kuhold mpira kwa ajili ya Mbape na Griezman

Hilo tuu ndo linamfanya aanzishwe
uko sahihi, sema kwa mchezo wa leo atapelekeshwa sana, nadhani umeona kazi na kasi ya mpira wa leo
 
Yaani tangu aingie nzonzi kaongeza nguvu pale kati. Kante alichemsha kwa mziki wa modric. Still we r breathing. Dk ya 73
 
Mbappe
1531672311559.gif
1531672317448.gif
 
Ngoma ya watoto itulaze macho watu wazima! Zimaeni taa tulale[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwali ashachukuliwa na France mkuu hapo tunamalizia dk tua
 
Kwa kweli mpira ni magoli, hata utawale vipi ila ukitikisa nyavu za mwenzio mara nyingi zaidi yake wewe ndio mshindi.
Very unfair to croatia.
 
Back
Top Bottom