bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Ngoma ya watoto itulaze macho watu wazima! Zimaeni taa tulale[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]Woozeeeer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ya watoto itulaze macho watu wazima! Zimaeni taa tulale[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]Woozeeeer
Ameniudhi kweli kweli walahi!Huyu gorikipa ingekua N.korea alikua anavishwa Nyuklia
Ona bwege huyu amewapa mojaNimekubali. Hongera sana, mchezo mzuri pia.. nmefurahi.
Anataka kutuharibu sherehe huyuAaaah golikipa mzembe
No wayLitafutwe La Tatu Sasa
uko sahihi, sema kwa mchezo wa leo atapelekeshwa sana, nadhani umeona kazi na kasi ya mpira wa leoKitu pekee anachofanya na chenye faida na timu ni kuweza kuhold mpira kwa ajili ya Mbape na Griezman
Hilo tuu ndo linamfanya aanzishwe
LA NNE nowLitafutwe La Tatu Sasa
Msenge kweli huyu anataka kuharibu shereheAaaah golikipa mzembe
Hapa piga ua mahari ilipwe isilipwe mke lazima aondoke tu hakuna namna..!Anataka kutuharibu sherehe huyu
Hahahhaaa usikimbie tuBeing single may we keep chatting pls, kila nlk-reply txt ako tunapata goal! Tafadhal lets keep chatting
naona hayuko serious, alitaka kurudia ujinga alioufanya, ashaanza kuboaHuyu gorikipa ingekua N.korea alikua anavishwa Nyuklia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwali ashachukuliwa na France mkuu hapo tunamalizia dk tuaNgoma ya watoto itulaze macho watu wazima! Zimaeni taa tulale[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] we jamaa bnHivi Diamond ashapafomu...?