Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Whether you like it or not, Giroud is a world cup winner! It coes down to history like that!
 
Robbery na Benzema watakuwa wanalaani huko walipo.
Waliachwa sababu ya nidhamu ingawa kiwango walikuwa nacho na baada ya kuachwa walianza kumkashifu deschamp!
 
Kuna Tumbili huko juu naona anarukaruka kwa kelele nyingi kama kakatwa mkia.

Mzee Mpira sio Biko kwamba hata ukiwa Matumbi unaweza kushinda, mpira ni maandalizi, utayari na juhudi kama unapeleka vitoto Wc unahisi hilo kombe wataliiba?

Kuna watanzania mazezeta sana hivi unatembea njiani unawaza England ichukue ubingwa kweli hiyo si dalili ya Kisonono kuanza kula mtindio wa Ubongo.
Tumbili aliyekatwa mkia alisema ukweli, siyo!

Jizoeze kuwa unatumia lugha nzuri kuliko matusi kwenye mijadala ya humu.
 
Back
Top Bottom