Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mods fungeni huu uzi tunatiana njaa tu, wanaoendelea ku comment wapen BAN ya maisha
 
Naymar ana mengi ya kujifunza kupitia Mbape. Kama Mbape angekuwa mtu wa kujiangusha leo hii ufaransa isingefika fainali.
 
Nilijua tu baada ya kuona fainali ni Ufaransa na Croatia nikajua Bingwa anaweza kuwa Ufaransa au Croatia na hatimaye kweli kati ya hizi timu mmoja kawa Bingwa.
 
Back
Top Bottom