lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kwani akilifanya Ukraine Urusi haruhusiwi kufanya?Hakuna jipya Ukraine ilishafanya hiko kitu kitambo tu
Jipya kwa Urusi kwa sababu wao walikua hawajafanya,Sasa ni zamu Yao.
Na Raha zaidi kwa Urusi kwa sababu a anaonesha silaha za collective west,plus Ukraine,NATO ,G7 na wajumbe wengine.