lee Vladimir cleef JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 9,571 Reaction score 35,475 Apr 29, 2024 #21 Marco Polo said: Hakuna jipya Ukraine ilishafanya hiko kitu kitambo tu Click to expand... Kwani akilifanya Ukraine Urusi haruhusiwi kufanya? Jipya kwa Urusi kwa sababu wao walikua hawajafanya,Sasa ni zamu Yao. Na Raha zaidi kwa Urusi kwa sababu a anaonesha silaha za collective west,plus Ukraine,NATO ,G7 na wajumbe wengine.
Marco Polo said: Hakuna jipya Ukraine ilishafanya hiko kitu kitambo tu Click to expand... Kwani akilifanya Ukraine Urusi haruhusiwi kufanya? Jipya kwa Urusi kwa sababu wao walikua hawajafanya,Sasa ni zamu Yao. Na Raha zaidi kwa Urusi kwa sababu a anaonesha silaha za collective west,plus Ukraine,NATO ,G7 na wajumbe wengine.