Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

Zelezinky ni Fala. BIDEN YUPO HUKO MBALI anamdanganya tu.Wanaoteseka ni waukrain. January ifike Trump amalize hii vita
Hashtuki kaingizwa cha kike afu Kunguru kafunga Ubalozi Kiev kakimbia kwa mwendo wa ngiri mkia juu huku anamwagq kinyesi kwa uwoga wa mashambulizi toka Russia

🇺🇸"US CLOSES KYIV EMBASSY AFTER WARNING OF 'SIGNIFICANT AIR ATTACK'"

The US is temporarily closing its embassy in Kyiv after receiving what it says is "specific information of a potential significant air attack on November 20.

Source: Sky News
 

Attachments

  • IMG_20241121_140333.png
    IMG_20241121_140333.png
    110.4 KB · Views: 3
  • IMG_20241121_120700.jpg
    IMG_20241121_120700.jpg
    84.8 KB · Views: 3
Makobaz bado mna Imani na Urusi licha ya aibu yote, kweli mna subira.
Bado kumbe upo tulijihisi uliodoka na maandamano ya kumpinga mtawala wako aise!!! karibu tena, Mrusi ataendelea kuwaonyesha wanavikoba mpaka sasa hawazungumzi lugha moja. Anayetia aibu ni USA utamwambiaje mwanaume mwenzio alipige baunza halafu wewe unakimbilia kutangazia dunia kufunga ubalozi huoni huyu ndiye katia aibu huku mnamwita super power bule kabisa.
 
Bado kumbe upo tulijihisi uliodoka na maandamano ya kumpinga mtawala wako aise!!! karibu tena, Mrusi ataendelea kuwaonyesha wanavikoba mpaka sasa hawazungumzi lugha moja. Anayetia aibu ni USA utamwambiaje mwanaume mwenzio alipige baunza halafu wewe unakimbilia kutangazia dunia kufunga ubalozi huoni huyu ndiye katia aibu huku mnamwita super power bule kabisa.
Unahangaika na hako kajamaa mkuu unapoteza mda wako tu🤠🤠🤠....Kila anachokisapoti huwa kinafeli kwhyo asikuhangaishe akili kabisa....
 
Hawa ma Zionist wanajidai wababe sana huyo Zelenskyy na Shetanyahu akili zao zimefanana.

Waukraine ni watu wazuri sana walifanya kosa kumchagua huyo comedian, ana act anavyo ambiwa na US wamemsifu yeye ni Rambo akamini akataka ku act kuliko yule Sylvester Stallone 🤣
Kimeshamaliza term yake ya urais kipo vitani....sijui kama hata kimetekeleza hata 20% ya alichowaahidi wananchi wake....idara Yao ya vipepeo weusi hapa iliteleza sana kumuacha hyu comedian mpk akawa rais....kuna kazi hazihitaji majaribio hasa ukiwa kwny maeneo Fulani ya kimkakati ya dunia
 
Hi vita inaingia phase ya pili ambao kila mtu ataonyesha ubabe wake phase lll itakua ya kutimia nuclear ya iv itakus 3rd world war.
na kabla ya phase ya v kanisa tutakuwa tumemlaki Bwana mawinguni na kwenda kukaa na Bwana milele. Dunia itapitia dhiki kuu, atakuja antichrist atafanya mambo makubwa sana, ...
 
Mpaka naogopa,warus waendelee kua wavumilivu tu maana Kuna uchokozi wa waziwazi.
Ndani ya uanja NATO wamefeli,wameingia uchokozi sasa ili mrusi arushe hayo makombora na Kisha kuwatangazia mabaya ili achukiwe Dunia nzima.

Kurusha ICBM mpaka Kiev Bila kizuizi inapaswa kuwa ni warning kali sana kwa wa-ukraine maana haishindikani Zaid ya ubinadamu.

Msikie tu Russia anasema si vita ila ni operation na ndo mana mostly analenga sehemu maalum.
Vita ni hii ya Gaza ambayo haiangalii hata kuku.
Ikianza hapo Ukraine serious ni maangamizi
 
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie.

Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch.

🇷🇺"RUSSIA ‘FIRES INTERCONTINENTAL BALLISTIC MISSILE’ AT UKRAINE"

The missile, which has never been used in combat before, was launched from Astrakhan and targeted critical infrastructure in the central Ukrainian city of Dnipro.

The RS-26 Rubezh, which can carry both conventional and nuclear warheads, has not been used in combat before, according to Western missile experts.

It is said to fly at five times the speed of sound, making it harder for Kyiv’s US-supplied Patriot missile systems to shoot down.

The US and the UK have allowed Ukraine to use Atacms and Storm Shadow missiles against targets in Russia.

This is Russia's retaliation and warning.

Source: Telegraph
Ila mnapenda vita!
 
Hi vita inaingia phase ya pili ambao kila mtu ataonyesha ubabe wake phase lll itakua ya kutimia nuclear ya iv itakus 3rd world war.
km ukraine angeruhusiw kupiga ndani ya Urus bas mpk ss Putin angekuwa mafichoni , muda utaongea zaid
 
Hii ni hatari jamani,tuombe isiwe vita ya 3 ya dunia, maana wote tutaathirika vibaya,tusiendekeze ushabiki ,,kama mafuta tu yalipanda kwasababu ya vita iyo hadi sasa,je yakianza kuvurumishwa mabomu hatari itakuaje!!
 
Back
Top Bottom