Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

Zelezinky ni Fala. BIDEN YUPO HUKO MBALI anamdanganya tu.Wanaoteseka ni waukrain. January ifike Trump amalize hii vita
Hashtuki kaingizwa cha kike afu Kunguru kafunga Ubalozi Kiev kakimbia kwa mwendo wa ngiri mkia juu huku anamwagq kinyesi kwa uwoga wa mashambulizi toka Russia

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ"US CLOSES KYIV EMBASSY AFTER WARNING OF 'SIGNIFICANT AIR ATTACK'"

The US is temporarily closing its embassy in Kyiv after receiving what it says is "specific information of a potential significant air attack on November 20.

Source: Sky News
 

Attachments

  • IMG_20241121_140333.png
    110.4 KB · Views: 3
  • IMG_20241121_120700.jpg
    84.8 KB · Views: 3
Makobaz bado mna Imani na Urusi licha ya aibu yote, kweli mna subira.
Bado kumbe upo tulijihisi uliodoka na maandamano ya kumpinga mtawala wako aise!!! karibu tena, Mrusi ataendelea kuwaonyesha wanavikoba mpaka sasa hawazungumzi lugha moja. Anayetia aibu ni USA utamwambiaje mwanaume mwenzio alipige baunza halafu wewe unakimbilia kutangazia dunia kufunga ubalozi huoni huyu ndiye katia aibu huku mnamwita super power bule kabisa.
 
Unahangaika na hako kajamaa mkuu unapoteza mda wako tu๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ....Kila anachokisapoti huwa kinafeli kwhyo asikuhangaishe akili kabisa....
 
Kimeshamaliza term yake ya urais kipo vitani....sijui kama hata kimetekeleza hata 20% ya alichowaahidi wananchi wake....idara Yao ya vipepeo weusi hapa iliteleza sana kumuacha hyu comedian mpk akawa rais....kuna kazi hazihitaji majaribio hasa ukiwa kwny maeneo Fulani ya kimkakati ya dunia
 
Hi vita inaingia phase ya pili ambao kila mtu ataonyesha ubabe wake phase lll itakua ya kutimia nuclear ya iv itakus 3rd world war.
na kabla ya phase ya v kanisa tutakuwa tumemlaki Bwana mawinguni na kwenda kukaa na Bwana milele. Dunia itapitia dhiki kuu, atakuja antichrist atafanya mambo makubwa sana, ...
 
Mpaka naogopa,warus waendelee kua wavumilivu tu maana Kuna uchokozi wa waziwazi.
Ndani ya uanja NATO wamefeli,wameingia uchokozi sasa ili mrusi arushe hayo makombora na Kisha kuwatangazia mabaya ili achukiwe Dunia nzima.

Kurusha ICBM mpaka Kiev Bila kizuizi inapaswa kuwa ni warning kali sana kwa wa-ukraine maana haishindikani Zaid ya ubinadamu.

Msikie tu Russia anasema si vita ila ni operation na ndo mana mostly analenga sehemu maalum.
Vita ni hii ya Gaza ambayo haiangalii hata kuku.
Ikianza hapo Ukraine serious ni maangamizi
 
Ila mnapenda vita!
 
Hi vita inaingia phase ya pili ambao kila mtu ataonyesha ubabe wake phase lll itakua ya kutimia nuclear ya iv itakus 3rd world war.
km ukraine angeruhusiw kupiga ndani ya Urus bas mpk ss Putin angekuwa mafichoni , muda utaongea zaid
 
Hii ni hatari jamani,tuombe isiwe vita ya 3 ya dunia, maana wote tutaathirika vibaya,tusiendekeze ushabiki ,,kama mafuta tu yalipanda kwasababu ya vita iyo hadi sasa,je yakianza kuvurumishwa mabomu hatari itakuaje!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ