Tetesi: Russia yasimasmisha mashambuliza Mariupol kiwanda cha chuma Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma

Wanawake kiukweli mna pepo yenu spesho Mbinguni kwa jinsi mlivyokuwa na ubinadamu na utu.yani chizi kama huyu unakubali kuolewa nae na kumzalia mtoto ili aitwe baba mtaani.kiukweli mna huruma sana na kila kiumbe hapa duniani.
 
wanajiita strong woman,ku contro kichwa cha mwanalumumba praises team wa maraika mkuu sio kazi ndogo.mihemko kama yote huyu mwamba inshort hajielewi
 
Russia yasimasmisha mashambulizi Mariupol kiwanda cha chuma kilichoko Ukraine

Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma

Kiwanda hicho kinamilikiwa kwa asilimia kubwa na viongozi wa Jeshi la Russia kupitia proxies wao walioko Ukraine

Putin anataka kishambuliwe kupiga Askari wa Ukraine walioko kiwandani. Magenerali wamegoma Wanataka na vita yenyewe iishe majeshi ya Urusi yaondoke Ukraine

Taarifa kamili kutolewa baada ya masaa nane toka sasa sababu wako kwenye vikao

Source:vyombo vya habari vya Slovakia
Kumbe source ni Slovakia? EU member?
Mkuu ni kwamba Putin kasema Majeshi ya Russia yasikipige kiwanda hicho lakini amewataka wakizingire hata nzi asitoke.Kwa hiyo Wanajeshi wa Azov ambao ni kikosi kilichokuwa kinategemewa na Ukraine watafia humo humo kwenye mahandaki ya kiwanda.
Mji wa Mariopol uko mikononi mwa majeshi ya Russia.
 
Hehehe jamaa unahangaika sana.......kwa taarifa yako wanajeshi wa Ukraine waliojificha kwenye hiko kiwanda wapo hai hadi sasa sababu ya huruma ya Putin.......majenerali walitaka wamalize kazi mapema wawafyekelee mbali aliewazuia ni PutinView attachment 2197746
Nikishaona tu hiyo RT ninakosa kabisa hamu ya kusoma kwa sababu Russia hamna vyombo vya habari vyote ni vya Putin tu, havina tofauti na hivi vya kwetu.

Vyombo huru vya habari viko magharibi ambako hadi rais anazira lkn hana namna halafu ndio mtu anatuletea habari za RT utafikiri umetoroka kutoka Mirembe.
 
Kwa sasa amini tu upande unaotaka hushikiwi mtutu hata wengine tukiona ni cnn au bbc tunapita tu tunajua ni matango pori ya wamagharibi......maisha murua kabisa..........hapa ni RT na Sputnik baaaas
 
Magharibi wakitangaza kuwa mrusi kateka mariupol mbona mnaamini au wakitangaza mazingira kiwanda mbona mnaamini
 
Dunia ni maslahi tu blaza.........mbona weye unaletaga hizo ngonjera zako za kutunga na maisha yanaenda
 
Mfano vyombo vyote vya Urusi havionekani duniani ikiwemo Tanzania

Unaamini kuwa meli ya kivita ya Urusi ilizama? Au ni propaganda za Magharibi?
 
Kwa hiyo unaamini vyombo vya Magharibi kama CNN, BBC nk vikitangaza Ukraine inapigwa?
Ila vikisema Russia anapigwa ni propaganda za vyombo vya Magharibi wewe akili huna
Wewe unazo ndo maana kila siku unahangaika na hizo taarabu zako.......hata ukitoa povu kama mtu anachezea kichapo anachezea tu povu lako halibadili kitu chochote
 
Russia yasimasmisha mashambulizi Mariupol kiwanda cha chuma kilichoko Ukraine

Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma

Kiwanda hicho kinamilikiwa kwa asilimia kubwa na viongozi wa Jeshi la Russia kupitia proxies wao walioko Ukraine

Putin anataka kishambuliwe kupiga Askari wa Ukraine walioko kiwandani. Magenerali wamegoma Wanataka na vita yenyewe iishe majeshi ya Urusi yaondoke Ukraine

Taarifa kamili kutolewa baada ya masaa nane toka sasa sababu wako kwenye vikao

Source:vyombo vya habari vya Slovakia
Utakufa[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kihoro we nyumbu ona unavohangaika utafkiri kuku wa mdondo

Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom