Tetesi: Russia yasimasmisha mashambuliza Mariupol kiwanda cha chuma Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma

Tetesi: Russia yasimasmisha mashambuliza Mariupol kiwanda cha chuma Moscow magenerali wataka vita iishe warudi Putin Agoma

Nikishaona tu hiyo RT ninakosa kabisa hamu ya kusoma kwa sababu Russia hamna vyombo vya habari vyote ni vya Putin tu, havina tofauti na hivi vya kwetu.

Vyombo huru vya habari viko magharibi ambako hadi rais anazira lkn hana namna halafu ndio mtu anatuletea habari za RT utafikiri umetoroka kutoka Mirembe.
Vyombo vyahabari hv vilivyotwambia IRAQ kuna silaha za sumu
Vyombo vyahabari hv vilivyotangaza vifo vya osama mmoja mara mia
Dunia nzima chombo habari huru namba moja ni RT
Halaf vnafatana vyengine cjui CGTN nk
 
Back
Top Bottom