Russia yatungua makombora 13 Israel huko Syria

Russia yatungua makombora 13 Israel huko Syria

Wasio na lolote ni zile nchi zilizoamua kumfuata Mhamad peke yake nazo utazikuta Uwarabuni tu na watu wake ni waarabu
Hapa ndio akili ya mtu mweusi unaiona,

Weka tu Israel Vs warabu,utawakuta watu weusi wamejigawa (huyu Israel, wale mwarabu)..hatujawahi kuwa na akili
 
Syria inapewa usaidizi wa kiusalama na Russia.
Tangu 2013 wapo hapo,na Russia yupo hapo kutunishiana misuli na USA.
Au hujui kama USA yupo Syria!??
Historia ya tartus base ni ya russian navy na inanzia tokea mwaka 1971 .
 
Kwa Hezbollah nahisi inaweza kuwa ngumu,maybe awape Iran ,then Iran awape Hezbullah
Lolote linawezekana kumbuka kwenye mapigano syria lazima kulikuwa na ccordination maana wote walikuwa marafiki wa Assad katika kukomboa miji. ya syria.
 
Lolote linawezekana kumbuka kwenye mapigano syria lazima kulikuwa na ccordination maana wote walikuwa marafiki wa Assad katika kukomboa miji. ya syria.
Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwadui
 
Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwadui
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu issue ni ukraine inabadili urafiki wao .
 
Historia ya tartus base ni ya russian navy na inanzia tokea mwaka 1971 .
Mie nimezungumzia ushirikiano wa kijeshi baina ya Russia na Syria.
Hata kusalia kwa hiyo Tartus navy base ni kwasababu ya mahusiano mazuri ya kidiplomasia baina ya Russia na Syria.
Hivi unajua kama Armenia kuna Russian base za muda mrefu zimesitishwa na Peshkinyan!?
 
Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwadui
Russia hana urafiki na Israel, Ukraine ndio ana urafiki na Israel.
Russia na Israel ni mutual relationship tu.
 
Back
Top Bottom