Hapa ndio akili ya mtu mweusi unaiona,Wasio na lolote ni zile nchi zilizoamua kumfuata Mhamad peke yake nazo utazikuta Uwarabuni tu na watu wake ni waarabu
Ndio hayo nayosemea.Kwa Hezbollah nahisi inaweza kuwa ngumu,maybe awape Iran ,then Iran awape Hezbullah
Historia ya tartus base ni ya russian navy na inanzia tokea mwaka 1971 .Syria inapewa usaidizi wa kiusalama na Russia.
Tangu 2013 wapo hapo,na Russia yupo hapo kutunishiana misuli na USA.
Au hujui kama USA yupo Syria!??
Lolote linawezekana kumbuka kwenye mapigano syria lazima kulikuwa na ccordination maana wote walikuwa marafiki wa Assad katika kukomboa miji. ya syria.Kwa Hezbollah nahisi inaweza kuwa ngumu,maybe awape Iran ,then Iran awape Hezbullah
Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwaduiLolote linawezekana kumbuka kwenye mapigano syria lazima kulikuwa na ccordination maana wote walikuwa marafiki wa Assad katika kukomboa miji. ya syria.
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu ila kuna maslahi ya kudumu issue ni ukraine inabadili urafiki wao .Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwadui
Mie nimezungumzia ushirikiano wa kijeshi baina ya Russia na Syria.Historia ya tartus base ni ya russian navy na inanzia tokea mwaka 1971 .
Russia hana urafiki na Israel, Ukraine ndio ana urafiki na Israel.Though nahisi Russia atahitaji umakini sana kufanya huo uwamuzi,Russia na Israel ni marafiki hawana uwadui