Russian firm pulls out of Uganda’s $4 billion oil refinery

Thread yenyewe imejaa ngojera za vita vya baridi tu, Wamarekani wana mamlaka gani ya kuingilia Waganda wafanye nini waache nini?

Wamarekani wana hulka kama za baadhi ya Wakenya i.e wivu, fitina, roho mbaya na roho ya kwa nini?

Haya mambo ya Wamarekani kusema kumpuni ya Kirusi iliyo shinda zabuni CEO wake alikuwa a former KGB officer yanawahusu nini Waganda?

Eti sijui Marekani ilimuwekea vikwazo vya kiuchumi Mrusi huyo - hama kweli Mayankee akili hawana kabisa - kwani nani ambaye hajui hizo ni gia za Taifa hilo kutaka kupewa mradi huo wa ujenzi wa refinary au rafiki zake wako radhi kufanya lolote under the sun.

Nani ambaye ajui Wamarekani huwa na agenda ya siri za kuvuruga nchi zenye utajiri wa mafuta walisha nusa Uganda na Kasikazini DRC kuna utajiri mkubwa wa mafuta ndio maana yanatumia mbinu nyingi sana kijipenyeza, mfano: Mwishoni mwa mwaka jana yalisema eti yanataka kuleta platoon ya wanajeshi wa Kimerikani kusaidia Uganda kumsaka Koni kwenye misitu ya equatorial Congo, ulighai mtupu! Wanatafuta kisingizio cha kuweka a military detatchment nchini Uganda.

Waganda/M7 hawe makini ni mijahili haya ambayo ni mifitini na hatari - kazi zao kupiga vita makampuni ya Uchina na Urusi hata Ufaransa ili wasijitanue Barani Africa na kwingineko , Miyankee ikae chonjo kwa kuwa kibaraka wake i.e Uingereza imejitoa EU basi Marekani watapata wakati mgumu kibiashara na ki-influence kwenye Continental Europe watasahulika kabisa badala yake vinara watakuwa Wachina, Warusi, India na Thailand - Marekani itabaki kusimamia mfereji wa PANAMA hata huo huko mashakani maana Wachina wanachimba mfereji mwingine nchini Nicaragua utakao kuwa mfupi kuunganisha bahari ya Pacific na Karibiani.

Wakati wenzao i.e Wachina, Warusi na members wengine wa ushirika wa BRICS wanafikiria kufanya mambo ya manufaa kwa Dunia i.e kushirikiana kiuchumi na kibiashara, wenzao Wamarekani wanawaza vita tu na ndoto zao za m&chana za kutaka ku dominate Mataifa mengine - mambo yanavyo kwenda sitashangaa kama ndiyo tuna anza kushuhudia the begining of the end ya influence kubwa ya Kimarekani Duniani,labda wabadirike radically.
 
Uhuru alieNDA UBELGIJI akarudi na 56km of 6 lane highway toka DONGO MPAKA MARIAKANI MOMBASA

AKAENDA UCHINA AKARUDI NA 1300km of SGR

AKAENDA TOKYO AKARUDI NA 400MN $ mombasa port expansion

Akaenda UTURUKI NA ISRAEL anarudi na 1000,000 acres za galana

Mnataka niendelee ameenda nje mara 76=

Wala sisi atuzunguki Duniani kutafuta msaada, wanakuja wenyewe Ikulu kutokana na sifa nzuri alizo nazo our five star General, oh yes wakale walisema kibaya ujitembeza kizuri.....
 
Hii hapa ni a race to the bottom. Tukianza kushangilia saa nchi jirani inaflop inamaanisha tumeanza ufala same na ya wale wabongo hupenda kufungua threads full of negative stories of Kenya kwa Kenyan section ya jf. And that's not cool at all
 
Hii habari imepikwa aisee

BBC wanadai Warusi wamenyimwa tenda na tenda wakapewa Wakorea.
Sababu kubwa Warusi walitaka kuongeza vipengele kiwizi wizi kwenye mkataba wao Uganda wakastukia, ikabidi wawapige chini.
 
Serikali ya Uganda imevunja mkataba wake na kampuni ya Urusi kuhusu mpango wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta.

Serikali ilikuwa imekamilisha mazungumzo na kampuni hiyo ya Rostec Global Resources Consortium.

Lakini inasema baadaye kampuni hiyo ilianza kuongeza masharti mengine hata baada ya makubaliano ya mwisho kufikiwa.

Mkataba huo sasa umekabidhiwa kampuni ya SK Engineering kutoka Korea Kusini.

Kampuni hiyo iliibuka ya pili katika shughuli ya kutoa zabuni.

Hatua hiyo imejiri wiki chache baada ya Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye kuzuru Uganda.

BBC.
 
Thread yenyewe imejaa ngojera za vita vya baridi tu, Wamarekani wana mamlaka gani ya kuingilia Waganda wafanye nini waache nini?

Wamarekani wana hulka kama za baadhi ya Wakenya i.e wivu, fitina, roho mbaya na roho ya kwa nini?

Haya mambo ya Wamarekani kusema kumpuni ya Kirusi iliyo shinda zabuni CEO wake alikuwa a former KGB officer yanawahusu nini Waganda?

Eti sijui Marekani ilimuwekea vikwazo vya kiuchumi Mrusi huyo - hama kweli Mayankee akili hawana kabisa - kwani nani ambaye hajui hizo ni gia za Taifa hilo kutaka kupewa mradi huo wa ujenzi wa refinary au rafiki zake wako radhi kufanya lolote under the sun.

Nani ambaye ajui Wamarekani huwa na agenda ya siri za kuvuruga nchi zenye utajiri wa mafuta walisha nusa Uganda na Kasikazini DRC kuna utajiri mkubwa wa mafuta ndio maana yanatumia mbinu nyingi sana kijipenyeza, mfano: Mwishoni mwa mwaka jana yalisema eti yanataka kuleta platoon ya wanajeshi wa Kimerikani kusaidia Uganda kumsaka Koni kwenye misitu ya equatorial Congo, ulighai mtupu! Wanatafuta kisingizio cha kuweka a military detatchment nchini Uganda.

Waganda/M7 hawe makini ni mijahili haya ambayo ni mifitini na hatari - kazi zao kupiga vita makampuni ya Uchina na Urusi hata Ufaransa ili wasijitanue Barani Africa na kwingineko , Miyankee ikae chonjo kwa kuwa kibaraka wake i.e Uingereza imejitoa EU basi Marekani watapata wakati mgumu kibiashara na ki-influence kwenye Continental Europe watasahulika kabisa badala yake vinara watakuwa Wachina, Warusi, India na Thailand - Marekani itabaki kusimamia mfereji wa PANAMA hata huo huko mashakani maana Wachina wanachimba mfereji mwingine nchini Nicaragua utakao kuwa mfupi kuunganisha bahari ya Pacific na Karibiani.

Wakati wenzao i.e Wachina, Warusi na members wengine wa ushirika wa BRICS wanafikiria kufanya mambo ya manufaa kwa Dunia i.e kushirikiana kiuchumi na kibiashara, wenzao Wamarekani wanawaza vita tu na ndoto zao za m&chana za kutaka ku dominate Mataifa mengine - mambo yanavyo kwenda sitashangaa kama ndiyo tuna anza kushuhudia the begining of the end ya influence kubwa ya Kimarekani Duniani,labda wabadirike radically.

Ndio matatizo yenu Watanzania, mnakaa mkifikiria biashara ni mambo ya kubembelezana. Huu ni ushindani na unyang'au na kila mbinu lazima zitumike. Hamna cha undugu wala nini. Hayo mataifa ya nje yapo yanapigana vikumbo kwa ajili ya Afrika, nani atafune wapi na yupi aburuzwe wapi.

Haya maamuzi ya kumpiga Mrusi chini na kuikabidhi kampuni ya Korea Kusini yatakua yametokana na safari ya hapo awali aliyoifanya rais wa Korea Kusini. Ameitembelea Uganda juzi na siku chache baadaye mambo yakageuzwa na Mrusi kupigwa chini.

Kila taifa huko Ughaibuni lipo mbioni kuja na kupata fursa ya kuitafuna Afrika. Hata hao Wachina unaowashobokea. Juzi Mfaransa ameng'eg'enia apitize bomba Tanzania huku akifumba watu macho eti kwa sababu za kiusalama. Wakati wadadisi wa haya masuala wanajua jinsi amepania kupata fursa kwenye raslimali za Tanzania, ambapo simlaumu maana hapo ametumia akili kama mwanabiashara, mwekezaji na nyang'au. Hivyo ni vitu muhimu kwenye biashara.
 
Serikali ya Uganda imevunja mkataba wake na kampuni ya Urusi kuhusu mpango wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta.

Serikali ilikuwa imekamilisha mazungumzo na kampuni hiyo ya Rostec Global Resources Consortium.

Lakini inasema baadaye kampuni hiyo ilianza kuongeza masharti mengine hata baada ya makubaliano ya mwisho kufikiwa.

Mkataba huo sasa umekabidhiwa kampuni ya SK Engineering kutoka Korea Kusini.

Kampuni hiyo iliibuka ya pili katika shughuli ya kutoa zabuni.

Hatua hiyo imejiri wiki chache baada ya Rais wa Korea Kusini Park Geun-hye kuzuru Uganda.

BBC.

Mkuu hata mimi hilo nilisikia usiku wa jana - kama Uganda wamechukua a second bidder sawa, ila kinacho nishangaza kidogo ni kwa nini Warusi waongeze masharti kwenye mkataba wa awali, walikuwa wanajiamini nini kwenye Dunia iliyo ghubikwa na "Law of the jungle" linapo kuja suala la ushindani wa kibiashara!!! - MK254 is right kuhusu survival of the fittest.
 
Uhuru alieNDA UBELGIJI akarudi na 56km of 6 lane highway toka DONGO MPAKA MARIAKANI MOMBASA

AKAENDA UCHINA AKARUDI NA 1300km of SGR

AKAENDA TOKYO AKARUDI NA 400MN $ mombasa port expansion

Akaenda UTURUKI NA ISRAEL anarudi na 1000,000 acres za galana

Mnataka niendelee ameenda nje mara 76=
UHURU babaako?
 
Wala sisi atuzunguki Duniani kutafuta msaada, wanakuja wenyewe Ikulu kutokana na sifa nzuri alizo nazo our five star General, oh yes wakale walisema kibaya ujitembeza kizuri.....
Give me 1 president who has visited magufuli and who is non African

Presidents who have visited kenya since 2013

President of Sri Lanka
Chinese prime minister
President of Italy
Preside of South Korea
President of Turkey
Prince of UK
POPE
PRESIDENT OF USA
President of South Africa

Next week israeli pm is visiting

Bitch please nyamazisha nyege
 
M
Ndio matatizo yenu Watanzania, mnakaa mkifikiria biashara ni mambo ya kubembelezana. Huu ni ushindani na unyang'au na kila mbinu lazima zitumike. Hamna cha undugu wala nini. Hayo mataifa ya nje yapo yanapigana vikumbo kwa ajili ya Afrika, nani atafune wapi na yupi aburuzwe wapi.

Haya maamuzi ya kumpiga Mrusi chini na kuikabidhi kampuni ya Korea Kusini yatakua yametokana na safari ya hapo awali aliyoifanya rais wa Korea Kusini. Ameitembelea Uganda juzi na siku chache baadaye mambo yakageuzwa na Mrusi kupigwa chini.

Kila taifa huko Ughaibuni lipo mbioni kuja na kupata fursa ya kuitafuna Afrika. Hata hao Wachina unaowashobokea. Juzi Mfaransa ameng'eg'enia apitize bomba Tanzania huku akifumba watu macho eti kwa sababu za kiusalama. Wakati wadadisi wa haya masuala wanajua jinsi amepania kupata fursa kwenye raslimali za Tanzania, ambapo simlaumu maana hapo ametumia akili kama mwanabiashara, mwekezaji na nyang'au. Hivyo ni vitu muhimu kwenye biashara.
Mkuu hapa naona maswala ni kuihusu hii nchi ya uganda kichumi maana hata sijui kama wakiwapa wa wakorea watafaulu.naona hii refinery ita hit more than 4bn $ channganya na pipeline duh hiyo hela mingi mno .povu povu kweli.
UHURU babaako?
Povu povu kweli...😀.uhuru ni baba wa taifa..
 
Kwani Kagame anatoka wapi?

Kama haujielewi jipe shughli sio lazma uanze pang'ang'a
Screenshot_2016-07-02-19-05-58.png
Screenshot_2016-07-02-19-06-08.png
Screenshot_2016-07-02-19-06-16.png
Screenshot_2016-07-02-19-06-44.png
 
Give me 1 president who has visited magufuli and who is non African

Presidents who have visited kenya since 2013

President of Sri Lanka
Chinese prime minister
President of Italy
Preside of South Korea
President of Turkey
Prince of UK
POPE
PRESIDENT OF USA
President of South Africa

Next week israeli pm is visiting

Bitch please nyamazisha nyege
Umesahau president modi wa India anakuja next week but one.. Pia president wa Japan anakuja mwisho wa huu mwezi kwa ile JTICAD confrence itakua on 29th or something. And if it wasn't for brexit and British PM Cameron deciding to resign,he would also have been on the schedule next month
 
K
Give me 1 president who has visited magufuli and who is non African

Presidents who have visited kenya since 2013

President of Sri Lanka
Chinese prime minister
President of Italy
Preside of South Korea
President of Turkey
Prince of UK
POPE
PRESIDENT OF USA
President of South Africa

Next week israeli pm is visiting

Bitch please nyamazisha nyege

Kwanza nakushauri ujaribu kutumia lugha ya staha - lugha yako ya vijiweni inaonyesha wazi wazi ulikuwa raised kwenye ghetto ya Kibera: Africa's largest slum!! Ndio maana maadili yako ni totally boorish!!

That aside: Hivi kama unashindwa kutofautisha kati ya Price/Princess, Pope, Waziri Mkuu na Rais - unategemea nani atakuchukulia seriously?

Mwisho kwa akili yako finyu unafikiri Mh.Kagame is not Head of State - jana alikuwa Nairobi Kenya na si BandariSalama Tanzania, unakimbilia kutaja non - african Head of State ili ikusaidie nini!!!
 
I don't think u comprehended what am asking so toa povu
 
Back
Top Bottom