Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Thread yenyewe imejaa ngojera za vita vya baridi tu, Wamarekani wana mamlaka gani ya kuingilia Waganda wafanye nini waache nini?
Wamarekani wana hulka kama za baadhi ya Wakenya i.e wivu, fitina, roho mbaya na roho ya kwa nini?
Haya mambo ya Wamarekani kusema kumpuni ya Kirusi iliyo shinda zabuni CEO wake alikuwa a former KGB officer yanawahusu nini Waganda?
Eti sijui Marekani ilimuwekea vikwazo vya kiuchumi Mrusi huyo - hama kweli Mayankee akili hawana kabisa - kwani nani ambaye hajui hizo ni gia za Taifa hilo kutaka kupewa mradi huo wa ujenzi wa refinary au rafiki zake wako radhi kufanya lolote under the sun.
Nani ambaye ajui Wamarekani huwa na agenda ya siri za kuvuruga nchi zenye utajiri wa mafuta walisha nusa Uganda na Kasikazini DRC kuna utajiri mkubwa wa mafuta ndio maana yanatumia mbinu nyingi sana kijipenyeza, mfano: Mwishoni mwa mwaka jana yalisema eti yanataka kuleta platoon ya wanajeshi wa Kimerikani kusaidia Uganda kumsaka Koni kwenye misitu ya equatorial Congo, ulighai mtupu! Wanatafuta kisingizio cha kuweka a military detatchment nchini Uganda.
Waganda/M7 hawe makini ni mijahili haya ambayo ni mifitini na hatari - kazi zao kupiga vita makampuni ya Uchina na Urusi hata Ufaransa ili wasijitanue Barani Africa na kwingineko , Miyankee ikae chonjo kwa kuwa kibaraka wake i.e Uingereza imejitoa EU basi Marekani watapata wakati mgumu kibiashara na ki-influence kwenye Continental Europe watasahulika kabisa badala yake vinara watakuwa Wachina, Warusi, India na Thailand - Marekani itabaki kusimamia mfereji wa PANAMA hata huo huko mashakani maana Wachina wanachimba mfereji mwingine nchini Nicaragua utakao kuwa mfupi kuunganisha bahari ya Pacific na Karibiani.
Wakati wenzao i.e Wachina, Warusi na members wengine wa ushirika wa BRICS wanafikiria kufanya mambo ya manufaa kwa Dunia i.e kushirikiana kiuchumi na kibiashara, wenzao Wamarekani wanawaza vita tu na ndoto zao za m&chana za kutaka ku dominate Mataifa mengine - mambo yanavyo kwenda sitashangaa kama ndiyo tuna anza kushuhudia the begining of the end ya influence kubwa ya Kimarekani Duniani,labda wabadirike radically.