Russian mercenary chief Prigozhin says his forces will leave Bakhmut next week

Russian mercenary chief Prigozhin says his forces will leave Bakhmut next week

Wataondoka Bhamut sababu wanapisha uharibifu utakaojitokeza badae, kisasi cha kushambulia Ikuru ya Urusi. Ukraine itabeba kitu kizito mno. Utabiri.
Hivi kweli na wewe uliamini hilo ni tukio la kweli?!!mbona ukweli ukeshaanza kujulikana kuwa ni tukio la kutengeneza!!!anachana na wenye sayansi zao!
 
Hehehe haya kwaheri na siku nyingine usije rudia ujinga kama huo, na kwa taariza zako huko Putin atakuua....
 
Huyu kiongozi wa hilo kundi alikua Mpishi wa Putin nae eti ana kikosi cha Vita kila akihojiwa analalamika upungufu wa vifaa mara risasi saa hizi naona wanatoa Timu baada ya hiyo Tarehe 9 May maana Zelensky katangaza tarehe 15 mzigo mwingine unaanza na pia nilichogundua Putin ana watu ndani ya Urusi anapigana nao na ni Warusi pia wengine wanalipua maeneo yao wakimpa kesi Zelensky ambae baadae anakuja kukanusha...
 
Kazi imemalizika
Screenshot_20230506-080419_Twitter.jpg


Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom