myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
🤣🤣Shughuli imekua nzito so jamaa lazima wachimbe. Wameona wanauliwa kizembe huku mzee Putin yuko kremlin anagida vodka kwa raha zake.
Rip Nemes
Wamepoteana 🤣🤣Sasa subiri warusi wa mburahati na charambe
Waliongea sana kuwa almost Bakhmut imekamatwa na Russians.Wamepoteana [emoji1787][emoji1787]
Hali imekua tete huko bakhmut.
Tunakoelekea, Russia atakuwa akiachia maeneo akihofia vifo.Vilianzia Crimea Vitaishia Crimea
Hivi kweli na wewe uliamini hilo ni tukio la kweli?!!mbona ukweli ukeshaanza kujulikana kuwa ni tukio la kutengeneza!!!anachana na wenye sayansi zao!Wataondoka Bhamut sababu wanapisha uharibifu utakaojitokeza badae, kisasi cha kushambulia Ikuru ya Urusi. Ukraine itabeba kitu kizito mno. Utabiri.