Ruto ameongelea sera ya uwekezaji na biashara, Mwenzake anaongelea kuchapa bakora wakosoaji

Ruto ameongelea sera ya uwekezaji na biashara, Mwenzake anaongelea kuchapa bakora wakosoaji

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Speech ya Rais Ruto ilikuwa safi kutoka Kwa mtu smart.

Imejaa weledi, sera, taaluma na utashi wa maendeleo

Hotuba ya Samia imejaa visasi na chuki Kwa wananchi

Aibu naona zaidi Kwa michango ya wabunge waliotoa, ilikuwa ni pongeza na uchawa
Mara Ruto ni mpenda watu, mara oooh yaani upumbavu tu

Hakuna mbunge alileta michango wa maoni wenye tija na sera za maendeleo

Rais Ruto na Wakenya najua mpo mnatucheka mno, na kutuona vilaza
1777996874470.jpg
Screenshot_20260505-185718.png
 
William Ruto pamoja na mapungufu yake ya kiuongozi nchini mwake! Bado anaonekana yuko vizuri upstairs. Na kwenye hili nisingependa kumlinganisha na Mama Abdul au mama D
 
Back
Top Bottom