Ruto amewaondoa Wabantu wote katika Serikali yake na kuwapatia vyeo wasomali. Lengo ni kuwaua Kisiasa milele nchini Kenya!

Ruto amewaondoa Wabantu wote katika Serikali yake na kuwapatia vyeo wasomali. Lengo ni kuwaua Kisiasa milele nchini Kenya!

Unazipimaje baraka hizo, yaani pamoja na izo laana jamaa kaorodhesha still unaamin ktk kubarikiwa kwa hao wabantu?
mkuu hizo baraka nilizokuorodheshea bado unahisi ni laana!!

Ardhi kubwa ambayo wageni wanaililia
Madini
maziwa na mito ( hamna ukame sehemu mkubwa wanayoishi)
mafuta
wanyama pori

haya ebu niambie sehemu gan duniani imebarikiwa ya hivo
 
sasa unanichanganya, umeandika Ruto, Museveni na Kagame wana conspire dhidi ya Wabantu, nikakuuliza kwa nini Museveni awe dhidi ya Wabantu wakati na yeye ni Mbantu? Ungeandika Ruto au Raila ningeweza kuelewa kwa maana wao siyo Wabantu …
Luto anatokea kabila la kalenjini ambalo ni nilotic kama makabila ya sudani kusini , wajaluo, wamasai haya yote si makabila ya kubantu
 
Ndio maana mkuu nikakwambia ukiwa hujui uwe mpole sio kujifanya mjuaji!!

Wabantu ni watu wanaoongea lugha ya kibantu (nadhani hivi ndivo unavofahamu)
Lakin pia wabantu wanashare genetic ya bantoid

hivo kusema wabantu waliitwa wabantu kwasababu licha ya kua wanatofautiana makabila lakini kuna similarity ya lugha zao kuashiria kwamba yamkini mwanzo ilikua lugha moja.
Pia wabantu wana share genetic similarities inayosuggest walikua na original moja.

hivo
msomali akiongea kiswahili hakimfanyi kua mbantu ila anakua anaongea bantu language
Ww ukiongea kiarabu hakikufanyi uwe muarabu genetically ingawa utakua unaongea lugha ya kiarabu.

sijui umeelewa.
Ndivo ilivo kenya au tanzania au rwanda
Watusi ni cushites walioadapt kihutu ambacho baadae ndio kilikuja kuitwa kinyarwanda

mifano yako bado haijibu maswali, msomali akiongea kiswahili sitamuita Mbantu kwa maana Kisomali kipo sasa swali langu kwako ni basic hiyo lugha ya wanyarwanda ilienda wapi? what happened mpaka lugha yao ife na wao ku adapt kibantu? katika languages ambazo ni extinct na karibia zote ziko documented sijawahi kusikia kwamba kinyarwanda ni mojawapo kwamba kilikuwepo kikafa na kibantu kikazaliwa …
 
mifano yako bado haijibu maswali, msomali akiongea kiswahili sitamuita Mbantu kwa maana Kisomali kipo sasa swali langu kwako ni basic hiyo lugha ya wanyarwanda ilienda wapi? what happened mpaka lugha yao ife na wao ku adapt kibantu? katika languages ambazo ni extint sijawahi kusikia kwamba kinyarwanda ni mojawapo …
We jamaa hufahamu vingi hivo itakua ngumu kukuelekeza ukaelewa ,,,,
Nakushauri anza kujisomea au ufuatilie hilo siku ukiona unauelewa kidogo urudi.

lakin
Umeelewa tofauti kati ya lugha ya kibantu na watu wanaounda jamii ya wabantu???

Hiyo lugha ilienda wapi katafute mwenyewe
 
Huwa natamani wakoloni warudi yaani, maana wabantu, waliosoma hadi viongozi ni zero in leadership tumeshindwa kujitawala, kila sehemu afrika ni matatizo makubwa.
yeah sure viongozi wengi wa Africa ni wana tamaa, Wanafiki na sio wazalendo they are easily gullible pia tumeshindwa ku unite wakati wote sisi ma negro ila ndo we hate each other mpaka tunauana kisa mali look at what happens in Congo, SA,Haiti Etc so sad
 
Huwa natamani wakoloni warudi yaani, maana wabantu, waliosoma hadi viongozi ni zero in leadership tumeshindwa kujitawala, kila sehemu afrika ni matatizo makubwa.
yeah sure viongozi wengi wa Africa ni wana tamaa na sio wazalendo they are easily gullible pia tumeshindwa ku unite wakati wote sisi ma negro ila ndo we hate each other mpaka tunauana kias mali look at Congo, SA
 
yeah sure viongozi wengi wa Africa ni wana tamaa, Wanafiki na sio wazalendo they are easily gullible pia tumeshindwa ku unite wakati wote sisi ma negro ila ndo we hate each other mpaka tunauana kisa mali look at what happens in Congo, SA,Haiti Etc so sad
Hata wazungu naoa wangekua masikini wangegawanywa!!

Angalia china inavojalibu kuzipishanisha nchi za EU
umasikini n mbaya
 
Wabantu ni watu wa hovyo Duniani, ukiona Binadamu wana Pua pana, Nywele ngumu na Lips pana basi wanakuwa na akili za hovyo

Wanakuwa Hawapendani, Wanarogana, Wanaoneana wivu yaani bora akuue kuliko uendelee kumzidi na hawana Umoja

Tizama wasio wabantu wanavyopendana hata kama si Matajiri lakini wana Umoja, Tazama Wasomali, Wamasai, Wahindi, Waarabu n.k

Mabantu ni Mabantu tu

Umoja wa wasomali na wamasai unewafikisha wapi? Mbona wapo nyuma sana kuliko wabantu.
 
Umoja wa wasomali na wamasai unewafikisha wapi? Mbona wapo nyuma sana kuliko wabantu.
Ni kweli richa ya kwamba wengine wana umoja lakini ndio kwanza wamekua wakimbizi kwene nchi nyingine
 
mkuu hizo baraka nilizokuorodheshea bado unahisi ni laana!!

Ardhi kubwa ambayo wageni wanaililia
Madini
maziwa na mito ( hamna ukame sehemu mkubwa wanayoishi)
mafuta
wanyama pori

haya ebu niambie sehemu gan duniani imebarikiwa ya hivo
Umewezaje kuzitumia baraka hizo kwa ajili ya kuendeleza vizazi vyako?
 
waafrika watu weusi sote tuna matatizo. tofauti baina yetu ni kwamba kuna wenye unafuu unafuu. kwangu wabantu wako juu kuliko cushites na nilotics. angazia Nigeria wabantu yoruba na igbo mfano mzuri wa jamii za kibantu.
 
mkuu uko 50% 50%
Uongo na ukweli
Nchi za kibantu ziko stable zaidi kuliko jamii ya nilotic na cushite✅

yoruba na igbo siyo wabantu
 
Back
Top Bottom