Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #41
mkuu hizo baraka nilizokuorodheshea bado unahisi ni laana!!Unazipimaje baraka hizo, yaani pamoja na izo laana jamaa kaorodhesha still unaamin ktk kubarikiwa kwa hao wabantu?
Ardhi kubwa ambayo wageni wanaililia
Madini
maziwa na mito ( hamna ukame sehemu mkubwa wanayoishi)
mafuta
wanyama pori
haya ebu niambie sehemu gan duniani imebarikiwa ya hivo