We hujielewi na unaonekana kabisa hauko neutral katika sakata hili! Umejuaje kama Ruto ndiye kawatuma hao unaowaita "wahuni" kufanya huo uharibifu?Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na kuharibu Mali za mtangulizi wake ....Uhuru Kenyatta inaongeza chuki na kuamsha watu zaidi waunge maandamano.
Maandamano ya 3, na kushuhudia umati mkubwa ni tishio katika usalama wa utawala wake.View attachment 2570927View attachment 2570928
Unawaombea amani vipi wakati wao wenyewe hawaitaki?Tuwaombee amani Ndugu zetu Wakenya....
Kulikuwa hakuna jitihada za kuzuia hao wahuni wakati yeye ana dolaWe hujielewi na unaonekana kabisa hauko neutral katika sakata hili! Umejuaje kama Ruto ndiye kawatuma hao unaowaita "wahuni" kufanya huo uharibifu?
Hawawezi fanya mazungumzo ya amani, mojawapo ya Sharti la Raila ni kukaguliwa kw Server za IEBC jambo ambalo wanaliogopa sana kwani wanajua nini Wa-Venezuela walifanya....Mkumbuke Rwanda walianza kimchezo mchezo hivyo, ulijua ilitokea nini?? Fanyeni mazungumzo ya amani.