Ruto ana mtihani mgumu

Ruto ana mtihani mgumu

onjwayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
1,356
Reaction score
1,309
Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na kuharibu Mali za mtangulizi wake ....Uhuru Kenyatta inaongeza chuki na kuamsha watu zaidi waunge maandamano.
Maandamano ya 3, na kushuhudia umati mkubwa ni tishio katika usalama wa utawala wake.

IMG_20230330_140130_743.jpg
IMG_20230330_140102_322.jpg
 
Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na kuharibu Mali za mtangulizi wake ....Uhuru Kenyatta inaongeza chuki na kuamsha watu zaidi waunge maandamano.
Maandamano ya 3, na kushuhudia umati mkubwa ni tishio katika usalama wa utawala wake.View attachment 2570927View attachment 2570928
We hujielewi na unaonekana kabisa hauko neutral katika sakata hili! Umejuaje kama Ruto ndiye kawatuma hao unaowaita "wahuni" kufanya huo uharibifu?
 
  • Thanks
Reactions: RMC
Tukiongezea Maziwa ya Uganda Ruksa Kenya
Hahaha Hapa kuna Maziwa Yanawindwa
Jino kwa Jino
 
Kuna mtu nimemsikia ktk maandamano anasema UNGA 1kg wanaonunua 350kshs Nairobi ambayo ni sawa na tshs 5,950/=.ya Tz.

Exchange rate ya Tz to kshs ni 1ksh=17tshs.

Siamini kama ni kweli.

Bt kama ni kweli, hata ingekuwa huku hayupo ambaye asingetoka kuandamana.
 
We had vowed that we shall continue picketing and demonstrating until the Ruto- Gachagua government fullfills the following;

1.Reducing the cost of living,chiefly the cost of maizer flour,sugar and cooking oil

2.Open the the 2022 presidential election severs

3.The IEBC saga.
 
We hujielewi na unaonekana kabisa hauko neutral katika sakata hili! Umejuaje kama Ruto ndiye kawatuma hao unaowaita "wahuni" kufanya huo uharibifu?
Kulikuwa hakuna jitihada za kuzuia hao wahuni wakati yeye ana dola
 
Mkumbuke Rwanda walianza kimchezo mchezo hivyo, ulijua ilitokea nini?? Fanyeni mazungumzo ya amani.
Hawawezi fanya mazungumzo ya amani, mojawapo ya Sharti la Raila ni kukaguliwa kw Server za IEBC jambo ambalo wanaliogopa sana kwani wanajua nini Wa-Venezuela walifanya....
 
Back
Top Bottom