onjwayo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 1,356
- 1,309
Rais wa Kenya, Ruto anakabiliwa na mtihani mgumu mno na kitu kikubwa kwake ni kutumia busara zaidi ya nguvu. Anahitaji maombi na siyo majeshi yake. Kitendo Cha kuwatumia wahuni kushambulia na kuharibu Mali za mtangulizi wake ....Uhuru Kenyatta inaongeza chuki na kuamsha watu zaidi waunge maandamano.
Maandamano ya 3, na kushuhudia umati mkubwa ni tishio katika usalama wa utawala wake.
Maandamano ya 3, na kushuhudia umati mkubwa ni tishio katika usalama wa utawala wake.