Kenya 2022 Ruto aongoza kura ya Maoni ya Urais Kenya

Kenya 2022 Ruto aongoza kura ya Maoni ya Urais Kenya

Kenya 2022 General Election

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto anaongoza katika kura za maoni Kenya dhidi ya mpinzani wake mkubwa Raila Odinga Katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya urais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.

Screenshot_20220217-212858_Twitter.jpg
 
Ruto mpaka ikulu⚡
Na ujue hustlers wanaoanza maisha hawakuwagi online,wenye washa hustle ndio wako online,hiyo kura ya maoni ni ya online hustlers,ngoja sasa uchaguzi
Ruto 70%🔥🔥
 
Aliwaza akawazua kisha akaenda

 
Back
Top Bottom