CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA.
Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko kwenye nchi zenye maendeleo duni. Wanauza nje bila ushuru, Kenya inalipa ushuru"
Huu ni ukweli usiopingika kwani nchi yetu licha ya kuwa na rasilimali kedekede uchumi wake umekuwa ukinufaisha wana CCM wachache huku Watanzania wengi wakitaabika na kuishi kwenye umaskini ulio kubuhu.
Sera za uchumi ni mbovu na pesa za umma zinatumiwa kiholela, ubadhirifu wa kutisha huku watuhumiwa wakiendelea kudunda mitaani na minoti ya kutisha.
Soma zaidi: Diplomatic goof: Ruto's remarks risk deepening Kenya's isolation