Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Sijasoma pote wala simtetei mtu ila katika hizo bullets points kuna kipi hapo amekosea ? Kwenye neighbours na categorization ni kwamba ukisema wamekuweka uchumi wa kati au uchumi wa juu vigezo na masharti yako yanakuwa magumu zaidi...; kwahio kwenye hizo bullets points sione condescending yoyote bali anajitetea kwamba wao wana raw deal compared to others...