Huyo mamaako nani anamtaka? mnatumia nguvu nyingi sana kumuweka ili awaonge vyeo.Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
Kabisa sisi tunaongozwa na wahuni tu, hawana idea za kukuza uchumi wapo focused na CHADEMA tuYuko sahh...Ruto ni daktari halisi wa kusomea wakati huyu wetu ni udaktari wa mchongo.
Tofauti iko wazi kabisa!.
Na ndicho anachowezaHuyo mamaako nani anamtaka? mnatumia nguvu nyingi sana kumuweka ili awaonge vyeo.
Yuko sahh...Ruto ni daktari halisi wa kusomea wakati huyu wetu ni udaktari wa mchongo.
Tofauti iko wazi kabisa!.
Wanamtaka yeye na mumeweHuyo mamaako nani anamtaka? mnatumia nguvu nyingi sana kumuweka ili awaonge vyeo.
OverKabisa sisi tunaongozwa na wahuni tu, hawana idea za kukuza uchumi wapo focused na CHADEMA tu
Hawa wa Tanzania wamezidi aiseeWanasiasa wote wa Africa ni hovyo tu
Sio kwamba jamaa anawakumbusha the so called sleeping giant? kiukweli watawala wanatudhalilisha Watanzania, we deserve to be a "A middle-to-high income country"Kwa hili tumedharaulishwa
Tanzania inaongozwa na wahuni tu.Yuko sahh...Ruto ni daktari halisi wa kusomea wakati huyu wetu ni udaktari wa mchongo.
Tofauti iko wazi kabisa!.
Diplomasia imesaidiaje taifa zaidi ya wahuni kupora keki ya taifa kupitia chaka la wawekezaji.Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
Wa huku anatakiwa na nani?Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
Ndio nyimbo mzipendazo kuimbiwa ukwel kuwa chadema ina maroboti na waoga huutaki...CCM inazidi kuumbuliwa mchana kweupe na kuzidi kuipandisha chart CHADEMA.
Akiwa Beijing, China kwa ziara ya siku 5, raisi wa Kenya amenukuliwa akisema kwama "Tofauti yetu na majirani zetu ni kwamba Kenya ipo kwenye kundi la watu wenye kipato cha kati, huku Tanzania, Uganda na nyingine ziko kwenye nchi zenye maendeleo duni. Wanauza nje bila ushuru, Kenya inalipa ushuru"
Huu ni ukweli usiopingika kwani nchi yetu licha ya kuwa na rasilimali kedekede uchumi wake umekuwa ukinufaisha wana CCM wachache huku Watanzania wengi wakitaabika na kuishi kwenye umaskini ulio kubuhu.
Sera za uchumi ni mbovu na pesa za umma zinatumiwa kiholela, ubadhirifu wa kutisha huku watuhumiwa wakiendelea kudunda mitaani na minoti ya kutisha.
View attachment 3314928
Soma zaidi: Diplomatic goof: Ruto's remarks risk deepening Kenya's isolation