Sijasoma pote wala simtetei mtu ila katika hizo bullets points kuna kipi hapo amekosea ? Kwenye neighbours na categorization ni kwamba ukisema wamekuweka uchumi wa kati au uchumi wa juu vigezo na masharti yako yanakuwa magumu zaidi...; kwahio kwenye hizo bullets points sione condescending yoyote bali anajitetea kwamba wao wana raw deal compared to others...
Ndio ukweli wenyewe, Kenya wametupiga gape kubwa sanaHii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.
Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
Hii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.
Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
Maroboti au great thinkers?Ndio nyimbo mzipendazo kuimbiwa ukwel kuwa chadema ina maroboti na waoga huutaki...
Gepu lipi hilo? πππNdio ukweli wenyewe, Kenya wametupiga gape kubwa sana
Ahsante, weka takwimu sasa kuongezea nguvu mchango wako mkubwa! Wamezoea sana kutuponda wkt wakija wanashangaa!
| Statistics | |
|---|---|
| Country group | Developing/Emerging Lower-middle income economy |
| Population | 70,641,120 (2024) |
| GDP | $85.487 billion (nominal, 2025 est.) $291.05 billion (PPP, 2025 est.) |
| GDP rank | 81st (nominal, 2024) List of countries by GDP (PPP) (PPP, 2025 |
Ni kweli ila Kenya ipo na conducive environment kwa investors na ndio maana unaona company nyingi wameweka head office zao Nairobi na kufungua vi-subsidiary company Tanzania na UgandaSijasoma pote wala simtetei mtu ila katika hizo bullets points kuna kipi hapo amekosea ? Kwenye neighbours na categorization ni kwamba ukisema wamekuweka uchumi wa kati au uchumi wa juu vigezo na masharti yako yanakuwa magumu zaidi...; kwahio kwenye hizo bullets points sione condescending yoyote bali anajitetea kwamba wao wana raw deal compared to others...
Sitokujibu...Maroboti au great thinkers?
Huyu wa kwako tunamtaka?Endeleeni kujifariji kwa kauli ya Rais wa hovyo ambaye wananchi wake hawamtaki. Ruto ni Rais asiyejua diplomasia kabisa.
Hata uhovyo unatofautiana mkuuWanasiasa wote wa Africa ni hovyo tu
Hakuna conducive yoyoteNi kweli ila Kenya ipo na conducive environment kwa investors na ndio maana unaona company nyingi wameweka head office zao Nairobi na kufungua vi-subsidiary company Tanzania na Uganda
Nilijua unalinganisha line to line! Tupate tofauti, kwani wakija wanafika Vingunguti pia au wanashangaa posta tu na wanapimaje hadi washangae?Halafu hii ni ya Wakenya na settler's economy Yao
Statistics Country group Developing/Emerging Lower-middle income economy Population 70,641,120 (2024) GDP $85.487 billion (nominal, 2025 est.) $291.05 billion (PPP, 2025 est.) GDP rank 81st (nominal, 2024) List of countries by GDP (PPP) (PPP, 2025
Mpo middle income ipi? Kenya yenyewe bado ipo lower middle, wakati huo budget yake ni karibia mara mbili ya budget ya tanzania.Hii ni mindset ya Wakenya tu, they believe tupo nyuma mno, ila wakija hubaki wakishangaa.
Wote tupo kwenye middle income, hii anavyofanya yeye ni ujinga tu
We are at the Crossroads inabidi tuanze kuangalia na ku invest kwenye self reliance; kwa nchi kama Tanzania kuna mambo mengi tu tungefanya ya kuweza kumuondolea mwananchi matatizo na hayo hayafanyiki sababu ya upeo mfupi na corruption tena hata Kenya ni kubwa sana...; Hatuhitaji kina Toyota wala Microsoft walete ofisi zao kumsaidia mbangaizaji kitaa kuna mambo madogo madogo ambayo yangeleta immidiate effects wala hayaitaji outside inputs...Ni kweli ila Kenya ipo na conducive environment kwa investors na ndio maana unaona company nyingi wameweka head office zao Nairobi na kufungua vi-subsidiary company Tanzania na Uganda
Unapingana na takwimu?Mpo middle income ipi? Kenya yenyewe bado ipo lower middle, wakati huo budget yake ni karibia mara mbili ya budget ya tanzania.
Kasome post ya Choice VariableGepu lipi hilo? πππ
Hili halina ubishiMpo middle income ipi? Kenya yenyewe bado ipo lower middle, wakati huo budget yake ni karibia mara mbili ya budget ya tanzania.
Umemaliza kila kitu, mengine ni ubishi wa machawa tuHata uhovyo unatofautiana mkuu
Hovyo kdg
Hovyo kiasi
Hovyo kabisa
Uelewa wa huyu wetu unatia mashaka, msikize kwa umakini akiwa na free flowing!
Hana maono yake binafsi kabisaaa!
Hana pia ule uwezo wa kutatua changamoto kwa kutolea majibu sahihi ya papo kwa hapo (big brain)...ndio maana alikataa staili ya kujibu maswali ya walalahoi kwenye mikutano yake!
Hata uhovyo unatofautiana mkuu
Hovyo kdg
Hovyo kiasi
Hovyo kabisa
Uelewa wa huyu wetu unatia mashaka, msikize kwa umakini akiwa na free flowing!
Hana maono yake binafsi kabisaaa!
Hana pia ule uwezo wa kutatua changamoto kwa kutolea majibu sahihi ya papo kwa hapo (big brain)...ndio maana alikataa staili ya kujibu maswali ya walalahoi kwenye mikutano yake!
Soma post ya Choice Variable kuhusu chumi za nchi za Africa uone jinsi TZ tunavyo loose ground.......Uganda soon wana tu-overtakeGepu lipi hilo? πππ