Ruto: I have now ensured that anyone who wants to work abroad will get a passport within a week

Ruto: I have now ensured that anyone who wants to work abroad will get a passport within a week

Tatizo la ajira la hawa Gen Z ni kubwa sana… anawaondoa mtaani kinamna ndio maana hata nauli yupo tayari kuwalipia. Ishu ni kwamba wana ujuzi?
Akina Okanga watafanya kazi wapi na Yale matusi yao? Ni jioni macho tu…serikali zetu zimelala na wana focus tu kwenye short term measures… ajira Kwa Gen z ni jambo mtambuka linalohitahi kujipanga huko serikalini…
 
Gen z wa tanzania laiti wangejua kwamba nguvu ya umma ndio kiboko ya hivi viserikali vinavyoteka watu wangeliamsha dude. Huyo ruto katepweta kwasababu ya Gen z .
Uko sahihi. Watanzania wanadhani kujikomba kwa rais na kumsifu ndiko kutamfanya rais aongoze vizuri. Kuna ule mkasa wa wafanyabisha wa kituo cha daladala pale mawasiliano walioambiwa na mkuu wa mkoa waondoke wapishe mwekezaji. Wakaitisha mkutano wakawa wanamlau mkuu wa mkoa halafu wakamwomba rais eti aingilie kati kwani uchaguzi ujao ni ''mitano tena'' kwa Samia. Huu ni ubwege mtozeni wa hali ya juu. Rais akishajua hakuna tishio lakuondolewa kwenye kiti, hawezi kujali chochote juu ya wananchi. Ujinga huu wanao watanzania wengi. Wadhani kujipendekeza ndiyo kutamfanya rais watumikie vizuri.
 
Unafikiri bila wale vijana wa GEN Z Kuingia barabarani angeweza kuwaza hivi?

Huku jamaa hawataki kabisa mateka wao kwenda ughaibuni ili waendelee kuwaslave.
 
Back
Top Bottom