Ruto: I have now ensured that anyone who wants to work abroad will get a passport within a week

Ruto: I have now ensured that anyone who wants to work abroad will get a passport within a week

Ukija bongo taratibu ya kutoka nje ya nchi ni kama adhabu vile, from kupata passport moaka uwanja wa ndege, yaani ni maudhi.

Serikali inashindwa kufaham the more diaspora wanaongezela nyumbani ndio tunapata faida zaid, economicaly, development wise, wven jamii inabadilika kifikra
Siyo kweli.
 
HILI WAZO LISSU ALICHUKUWE MAPEMA SANA ILI KU WIN YOUNG POPULATION AMBAO NDIO 70%,YA WAPIGA KURA.
Ila 1st priority kwa mwanasiasa kama Lissu iwe ni kutengeneza jobs hapa nchini through manufacturing. Wa discourage uchumi wa uchuuzi wa bidhaa za China maana unatengeneza kundi kubwa la vijana (machinga) wenye hasira na serikali haijalishi iwe ya ccm au upinzani
 
Utakuwa hujatimiza masharti ya passport. Makaratasi (cocuments) zako haziko sawa.

Tatizo moja kubwa sana la watoto wa single mama ni ukosefu wa documents sahihi za kuzaliwa.
Hahaha kwamba ume assume nimetokea kwa single mums? Dah so sad such icon in jf unaandika upuuzi kama huo, kwanza behave and si kila mtu ni mtoto humu

Fiest of all si mtoto, i have been flying for a very long long time, so kusema sikuwa na document so wrong, i had everything but the mifumo yetu wana ku treat as if unaenda kuiba , na si mimi peke kuna several cases kama zangu, most of them huwa haziropotiwi
 
Back
Top Bottom