chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Hata akilichukua katika watanzania 1000 mmoja ndiyo anataka kwenda nje.HILI WAZO LISSU ALICHUKUWE MAPEMA SANA ILI KU WIN YOUNG POPULATION AMBAO NDIO 70%,YA WAPIGA KURA.
The president of bed bugs!Lissu ndio mdudu gani?
Siyo kweli.Ukija bongo taratibu ya kutoka nje ya nchi ni kama adhabu vile, from kupata passport moaka uwanja wa ndege, yaani ni maudhi.
Serikali inashindwa kufaham the more diaspora wanaongezela nyumbani ndio tunapata faida zaid, economicaly, development wise, wven jamii inabadilika kifikra
Ila 1st priority kwa mwanasiasa kama Lissu iwe ni kutengeneza jobs hapa nchini through manufacturing. Wa discourage uchumi wa uchuuzi wa bidhaa za China maana unatengeneza kundi kubwa la vijana (machinga) wenye hasira na serikali haijalishi iwe ya ccm au upinzaniHILI WAZO LISSU ALICHUKUWE MAPEMA SANA ILI KU WIN YOUNG POPULATION AMBAO NDIO 70%,YA WAPIGA KURA.
I speak from my experience, na wale wote ambao walitoka nje from 2014 mpaka 2020, mazingira hayakuwa rafiki, and that is the factSiyo kweli.
Na maandamano watapeleka njeWakiondoka wengi ndivyo watakavyo iingizia Kenya mapato mengi zaidi.
Utakuwa hujatimiza masharti ya passport. Makaratasi (cocuments) zako haziko sawa.I speak from my experience, na wale wote ambao walitoka nje from 2014 mpaka 2020, mazingira hayakuwa rafiki, and that is the fact
Hahaha kwamba ume assume nimetokea kwa single mums? Dah so sad such icon in jf unaandika upuuzi kama huo, kwanza behave and si kila mtu ni mtoto humuUtakuwa hujatimiza masharti ya passport. Makaratasi (cocuments) zako haziko sawa.
Tatizo moja kubwa sana la watoto wa single mama ni ukosefu wa documents sahihi za kuzaliwa.
Hamna fact hapoI speak from my experience, na wale wote ambao walitoka nje from 2014 mpaka 2020, mazingira hayakuwa rafiki, and that is the fact
Anaahidi kila baada ya saa 1Always Promising the Moon (Alternative definition of a Politician..., especially a slimy one like Ruto)