Ruto kuiga mfumo wa CCM kuongoza Kenya, kuwapa madaraka ya chama wananchi

Aliposema sema BOTTOM UP kumbe alimaanisha kuwamaliza wakenya kuanzia chini hadi Juu ! basi Mungu amjaalie sana kwenye huo mpango wake .

Zile tenzi alizokuwa anaimba ilikuwa geresha siyo , anachokitafuta atakipata haraka sana !
 
Hivi ni kweli madaraka ya chama cha CCM yapo kwa wananchi na sio kwa m'kiti wa chama??
 
Mara huku nabii hakubaliki kwao mara kule wanasema kitanda usichokilala bujji kunguni wake

Sasa sijui Ruto anatumia ipi hapo 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
Kama ni kweli huyo Ruto anataka kuingia matatizoni, hakuna mkenya yuko tayari kutawaliwa kwa itikadi za ujamaa uchwara.
Naamini watachukua MAZURI mengi, utu, HAKI nk,

Mabaya ya CCM waachane nayo.

Pakiwa na Nia njema wakisaidiwa na KATIBA mpya Yao watatoboa.
 
Aige mifumo ya kwetu ktk umiliki wa Ardhi, atawasaidia sana maskini kuinuka.
 
Uda wako sawa kabisa. Kwa Hali iliyopo vyama vyote vinabebwa na ukabila na majina ya watu pamoja na family maarufu zikiwa na ukwasi mkubwa. Wananchi wa Kenya Huwa hawana jinsi zaidi ya kuangukia ktk makundi hayo. Tofauti kabisa na Tanzania chini ya CCM ambapo unaweza ukawa mchanga na ukawa diwani au mbunge usukumani. Ukawa mtoto wa family ya Nyerere ukashindwa ktk uchaguzi. Ukawa na Hela kibao ukachapwa na maskini Hadi ukabeba masufuria ya nyama ulizowapikia wajumbe😆. Ruto ni mpiganaji wa ukweli na Kwa hatua hizi UDA kitakaa madarakani Kwa muda mrefu sana. Hongera CCM Kwa kuwa chama Cha kuigwa Kwa misingi yake imara ya inclusiveness and harmonized ideology.
 
Watuulize watanzania tunsomjua Rais ajaye, hata kabla ya kura kupigwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ccm hii hii ya ndugai na mke wa yesu au
 
CCM ina mfumo mmoja tu unaofanya kazi, ni ule wa WIZI wa kura !!
 
Naamini watachukua MAZURI mengi, utu, HAKI nk,

Mabaya ya CCM waachane nayo.

Pakiwa na Nia njema wakisaidiwa na KATIBA mpya Yao watatoboa.

Kwa hiyo huko CCM ndio kuna utu na haki, au nimekosea kusoma ulichoandika?
 
Kwakweli haujui, huwa wanatumia kalamu zile za Obama za Tshs 200 kukata majina yaliyoletwa na wananchi kwa mchakato wa gharama kubwa
Siamini kama kweli hajui, nahisi kama kuna usanii anafanya, hawa wakenya huwa wanatudharau sana kwenye mambo yetu, wanatuona kama kondoo..asije akajaribu kuwapelekea Wakenya wenzie hizi tabia za CCM, hatutaki wakimbizi wa kisiasa.
 
WAKENYA SIO MAITI KAMA WATANZANIA
WAKENYA SIO WAJINGA KAMA WATANZANIA
WAKENYA SIO WAPUMBAVU KAMA WATANZANIA
 
Kwa hiyo huko CCM ndio kuna utu na haki, au nimekosea kusoma ulichoandika?
CCM utu na HAKI, vimebakia vitabuni. Waasisi walitengeza chama imara sana kabla HAKIJATEKWA.
 
WAKENYA SIO MAITI KAMA WATANZANIA
WAKENYA SIO WAJINGA KAMA WATANZANIA
WAKENYA SIO WAPUMBAVU KAMA WATANZANIA
Kauli hiyo ni General, Usiongelee watz Kwa ujumla wao kiivyo.

Wajinga na WAPUMBAVU, maiti ni Wachache na wapo duniani kote Si Tz pekee.

Je Kingai, ziro, viongozi Serikali I ni watz, ni kati ya unaowaongelea??

Mbowe, Lissu, Lema, Ulimwengu, kijo bisimba ni kati ya watz, je pia ni miongoni mwa wote uliowasema??

Watanzania ni Wana wa Mungu aliye hai, ni Wabarikiwa. Ni Wacha Mungu.

Wapo watz walotekwa, wamefungwa ktk Vifungo vya ujinga, umaskini nk, hupaswi kuwaita majina hayo ndugu zako.

KAZI tunayoifanya ni kuwafumbua macho, kuwakatia minyororo walofungwa Ili wawe huru wapiganie HAKI zao.

Mungu ibariki TANZANIA, Ameeeen.
 

Naamini wengi hapa hawajamuelewa muthama (SI RUTO HUYO). Kenya, vyama huwa vya uchaguzi tu. Yaani baada ya Uchaguzi, hakuna anayejali kuhusu Chama. CCM, pamoja na mapungufu yake, ni chama ambacho kiko na Structures, kama vile KANU kilikuwa. Hii sikusema eti atatawala nchi vile CCM inatawala, bala chama chenyewe kitatawaliwa na kumilikiwa na WANACHAMA wala si WENYECHAMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…