Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.

Kwa mtizamo wangu naona bora Irungu kang'ata au Kindiki
 
We babu unazeeka vibaya 😁😁 πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBQdKzCgrSM/?igsh=MWt1N3Q5MXVzMHNhcQ==
 
Gachagua alikuwa na Wapiga Kura wengi Mlimani kuliko Prof Kindiki

Unajua Ruto alimzidi Raila Kwa kura chache sana
Ndio kilichomuangusha gachagua ni kufadhili Gen Z , alikuja kubainika yeye ndio mfadhili wa maandamano, akishirikiana na akina Jimmy wanjigi , hasa hesabu ya Kura za Raila itahamia kwa Ruto kama mambo hayatobadilika maana Raila na Ruto watakua pamoja halafu mlima wataachwa , then waluhya watavutwa , Kenya central iwekwe Kati hapo wakalenjin wote watakua kwa Ruto , calculation ni kuwafanya watu wa mlima wasione wao ndio wamiliki wa Kenya, maana akitokea Rais Wa eneo tofauti na wao anaongoza kwa taabu Sana kama Ruto , Ruto kaanza kutulia baada ya kumvuta Raila hapo ndio utaona kila hesabu imepigwa
 
Watanzania udini umewavuruga sana
 
Kama ni "kubalance dini", kwani Waislam Kenya wapo Mombasa tu?

Kuna Garissa, 99% Muslims.
 
Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.

Kwa mtizamo wangu naona bora Irungu kang'ata au Kindiki
Prof. Abraham Kithure Kindiki kaisha tangazwa rasmi, tayari ndie naibu rais mteule wa Kenya πŸ’
 
Kuna mdau amesema iko kwenye Katiba kwamba Rais na Naibu wake lazima wawe Wakristo

Bado naitafuta hiyo Katiba niisome
Haijalishi kwangu. Sina haja ya umbea wa jirani anafanya nini.

Ya nyumbani kwangu Tanzania sijayakamilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…