Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwahiyo Ruto alimuiga JK dhidi ya Gachagua, right?๐คฃJK 2010: Urais wangu hauna Ubia
Muwage mnafuatilia Siasa ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo Ruto alimuiga JK dhidi ya Gachagua, right?๐คฃJK 2010: Urais wangu hauna Ubia
Muwage mnafuatilia Siasa ๐๐
Amefanikiwa!one term ngoja nimuwahi na half term ๐
Waarabu ndiyo walio nisomesha ila ni wapumbavu tuShule ya kata uliyosoma,umeme uliopo kijjjini kwenu,mkopo uliopewa (kama ulisoma chuo)chuoni ni nani aliyewezesha?
Siasa ni Sayansikwahiyo Ruto alimuiga JK dhidi ya Gachagua, right?๐คฃ
Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,
lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya ๐
Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya ๐
We babu unazeeka vibaya ๐๐ ๐๐Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Ndio kilichomuangusha gachagua ni kufadhili Gen Z , alikuja kubainika yeye ndio mfadhili wa maandamano, akishirikiana na akina Jimmy wanjigi , hasa hesabu ya Kura za Raila itahamia kwa Ruto kama mambo hayatobadilika maana Raila na Ruto watakua pamoja halafu mlima wataachwa , then waluhya watavutwa , Kenya central iwekwe Kati hapo wakalenjin wote watakua kwa Ruto , calculation ni kuwafanya watu wa mlima wasione wao ndio wamiliki wa Kenya, maana akitokea Rais Wa eneo tofauti na wao anaongoza kwa taabu Sana kama Ruto , Ruto kaanza kutulia baada ya kumvuta Raila hapo ndio utaona kila hesabu imepigwaGachagua alikuwa na Wapiga Kura wengi Mlimani kuliko Prof Kindiki
Unajua Ruto alimzidi Raila Kwa kura chache sana
watu wanachangia mambo muhimu we unaleta mzaha, are you serious?Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongo
watu wanachangia mambo muhimu we unaleta mzaha, are you serious?Wamchukue Samia awe Naibu rais, watuachie Gachagua awe rais wa bongo
Kwamba CDM ni ya wachaga pekee? Sugu, Mnyika, Heche, Lissu n.k hawa nao ni wachaga?Mangi...kuna uhusiano gani Kati ya kuwa Mangi na kuwa CDM na kuwa mdini mdini na chuki za kidini dini?
Watanzania udini umewavuruga sanaNi baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Hoja za hovyo kabisaaKwamba CDM ni ya wachaga pekee? Sugu, Mnyika, Heche, Lissu n.k hawa nao ni wachaga?
Kama ni "kubalance dini", kwani Waislam Kenya wapo Mombasa tu?Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached
Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole
Yanayojiri bungeni:
Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
WanamhemukohawaProf. Kindiki anatokea Mombasa?
Prof. Abraham Kithure Kindiki kaisha tangazwa rasmi, tayari ndie naibu rais mteule wa Kenya ๐Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.
Kwa mtizamo wangu naona bora Irungu kang'ata au Kindiki
We babu unazeeka vibaya ๐๐ ๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DBQdKzCgrSM/?igsh=MWt1N3Q5MXVzMHNhcQ==
Kwani Uhuru Kenyatta hakuwa Muislam..?Kumpata muislamu Kenya ni ngumu sn, ndiyo maana mpk leo hajawahi kutokea Rais muislam kwao
Kuna mdau amesema iko kwenye Katiba kwamba Rais na Naibu wake lazima wawe WakristoKama ni "kubalance dini", kwani Waislam Kenya wapo Mombasa tu?
Kuna Garissa, 99% Muslims.
Haijalishi kwangu. Sina haja ya umbea wa jirani anafanya nini.Kuna mdau amesema iko kwenye Katiba kwamba Rais na Naibu wake lazima wawe Wakristo
Bado naitafuta hiyo Katiba niisome