Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,

lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya ๐Ÿ’

Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya ๐Ÿ’
Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.

Kwa mtizamo wangu naona bora Irungu kang'ata au Kindiki
 
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
We babu unazeeka vibaya ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DBQdKzCgrSM/?igsh=MWt1N3Q5MXVzMHNhcQ==
 
Gachagua alikuwa na Wapiga Kura wengi Mlimani kuliko Prof Kindiki

Unajua Ruto alimzidi Raila Kwa kura chache sana
Ndio kilichomuangusha gachagua ni kufadhili Gen Z , alikuja kubainika yeye ndio mfadhili wa maandamano, akishirikiana na akina Jimmy wanjigi , hasa hesabu ya Kura za Raila itahamia kwa Ruto kama mambo hayatobadilika maana Raila na Ruto watakua pamoja halafu mlima wataachwa , then waluhya watavutwa , Kenya central iwekwe Kati hapo wakalenjin wote watakua kwa Ruto , calculation ni kuwafanya watu wa mlima wasione wao ndio wamiliki wa Kenya, maana akitokea Rais Wa eneo tofauti na wao anaongoza kwa taabu Sana kama Ruto , Ruto kaanza kutulia baada ya kumvuta Raila hapo ndio utaona kila hesabu imepigwa
 
Ni baada ya Naibu Rais wa zamani mh Gachagua kuwa impeached

Inadaiwa Kenya sasa wataiga mfumo wa Tanzania wa kuzingatia Imani za Watu mbalimbali kwenye Uongozi wa juu kwani kwa sasa nafasi zote za Juu zinashikiliwa na Wakristo hasa Walokole

Yanayojiri bungeni:

Wabunge wameanza kuingia ukumbini na Ulinzi ni mkali mno, Magari yote yanapaki nje Kabisa ya eneo la Bunge
Watanzania udini umewavuruga sana
 
Kama ni "kubalance dini", kwani Waislam Kenya wapo Mombasa tu?

Kuna Garissa, 99% Muslims.
 
Huyo mwanamama ni very corrupt, sema wataendana sana na ruto kwa sababu atatulia na kupokea maelekezo tu, kitu ambacho kwa haiba ya Gachagua ilikua ngumu, uchaguzi wa 2027 utakuwa mzito sana.

Kwa mtizamo wangu naona bora Irungu kang'ata au Kindiki
Prof. Abraham Kithure Kindiki kaisha tangazwa rasmi, tayari ndie naibu rais mteule wa Kenya ๐Ÿ’
 
Kuna mdau amesema iko kwenye Katiba kwamba Rais na Naibu wake lazima wawe Wakristo

Bado naitafuta hiyo Katiba niisome
Haijalishi kwangu. Sina haja ya umbea wa jirani anafanya nini.

Ya nyumbani kwangu Tanzania sijayakamilisha.
 
Back
Top Bottom