Hujawahi kutabiri, hata tetesi zako zote hunasa hewaπππKutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,
lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya π
Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya π
Kile ni chama cha siasa ambacho kimefata taratibu zote ndio maana kikaruhusiwa kufanya harakati zake hapa nchini, acheni hoja muflisi, Chadema ni chama cha wanachama kama vyama vingineNi kweli CHADEMA siyo ya Wachagga, bali ni ya Freeman Mbowe akimuwakilisha mkwewe Edwin Mtei. Hao akina Mnyika, Heche, Lissu ni kama braidmaids tu wa kwenye harusi (wapambe)
Kachukue fomu ya kugombea uwenyekiti wa CDM ndiyo utanielewa
Salimu Mwalimu ni mkristo?Mbona Chadema mpo Wakristo watupu? π
UWT huwa hawana akili hata kidogoHoja za kudai chadema ni ya wachaga ni hoja ya hovyo kabisaa katika ulimwengu wa ushindani wa kisiasa
Mke wake ni mkristo wale COVID-19 πSalimu Mwalimu ni mkristo?
Futa ujinga wako, ameoa mtu anayejifunika kichwa mpk miguuMke wake ni mkristo wale COVID-19 π
Shetani kaa nyuma, huu kikwazo kwangu.Unat....bwa nini?
Who determines what is serious around here ?watu wanachangia mambo muhimu we unaleta mzaha, are you serious?
Esther ni sister? πΌFuta ujinga wako, ameoa mtu anayejifunika kichwa mpk miguu
Ester wapo mpk waislamuEsther ni sister? πΌ
gentleman,Hujawahi kutabiri, hata tetesi zako zote hunasa hewaπππ
Makamu ni mwanaune ewe pimbiπ
Wewe sangoma kabisa, m,ushi, mchonganishi ma mpiga ramli mashuhuri humugentleman,
mie sio mpiga ramli ndugu mshirikina punguza ubabaifu na kimbelembele π
kwahiyo umekaa mahali unasubiri kutabiriwa tu? ushirikina ni utumwa mbaya sana..Wewe sangoma kabisa, m,ushi, mchonganishi ma mpiga ramli mashuhuri humu
Usidanganyike kifala wewe mtu wa kuja!! Tuko mjini tumeyaona, usifikiri tunaandika kufurahisha barazaKile ni chama cha siasa ambacho kimefata taratibu zote ndio maana kikaruhusiwa kufanya harakati zake hapa nchini, acheni hoja muflisi, Chadema ni chama cha wanachama kama vyama vingine
Januari bado hajabadili dini?Ni ujinga wa hali ya juu sn, kiongozi apatikane kwa uwezo wake
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu.Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.
Nasikia ameokoka yupo kwa MwamposaJanuari bado hajabadili dini?
Bora kufa na ujinga kuliko kufa mpumbavu kama wewe....huo ni ukweli kamili tujifunze hata kwa matukio ....mfano hapa tanzania tumekuwa na marais 6 toka uhuru watatu wakristo watatu waislamu ....je ule msemo wa baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada unaujua? je huo msemo unafiti kwa marais wapi kati ya hao ....watazame watoto wa marais waislamu wakati baba zao ni marais na nyenendo zao ...watazame wake zao na nyenendo zao wapo hadi wengine wametaka kulipwa sawa na wanavyolipwa vyeo vya waume zao tena wengine wapo bungeni ila awatosheki...tazama marais wakristo ni ngumu hata kuwajua watoto zao ...uwezi kusikia kitu chochote kiovu kwa watoto wala wake zso kinacho tokana na kiburi cha wazazi wao kuwa marais au viongozi .....chunguza marais wakristo ni kwanini watoto wao huwa awajulikani kipindi baba zao wapo madarakani ....wala wake zao awavumi kwenye mambo ya kipumbavu ...kuna kisa kwenye uislamu kilitokea wakati wa Umar swahaba wa mtume wenu ...alipokuwa kiongozi wa waislamu ...hicho kisa nilikisikia redioni ...kulikuwa na mashindano sijui nchi ya misri kijana mmoja akamshinda mtoto wa kiongozi mkubwa basi yule mtoto akachukia na kumwadhibu huyo kijana ndipo huyo.kijana akafunga safari hadi kwa swahaba wa mtume Umar kushitaki ...alichokifanya Umar haka muhita yule mtoto na baba yake aliye kiongozi...kisha kutoa hukumu kuwa baba wa huyo mtoto wa kiongozi ndiye apigwe viboko badala ya mtoto wake ...umar akasema hiyo hukumu ipo hivyo kwa sababu kiburi cha huyo mtoto kinatoka kwa babaye ....hiyo hukumu hata mimi naiunga mkono ni hukumu safi sana ....sasa ukitazama watoto na wake wa marais waislamu nchini inatosha kabisa kujua ni viongozi wapumbavu na waovu kiasi gani tulionao wa dini ya kiislamu ...sikuzote kiburi cha mtoto wa kiongozi au mke au ndugu dhidi ya wananchi kuna akisi uovu wa huyo kiongozi ...tanzama kwa sasa hapa tanzania chini ya Samia kuna huyu kijana Abdul miguu yake inakwenda kasi kumwaga damu ..kufsnya ufisadi ..kutoa rushwa ...kuunga magenge maovu ya mauaji nk na mama yake yupo kimya kama ajui nini kinatokea ...majuzi tundu lissu kasema wazi kuwa huyo kijana anatoa rushwa upinzani na alikwenda hadi nyumbani kwake kumpatia rushwa na yeye pia ...mbona lisdu ajashitakiwa kwa uongo na kumchafua abdul ....mbona mama yake ajasema chochote .......nijibu mbona atujasikia mashehe wakikemea chochote kuhusu waislamu wenzao walio viongozi wanapo fanya uovu ...bali utasikia wakiwatetea . Ngoja nimuite huyu anaye jidai muislamu FaizaFoxy...mzee akizeeeka ujifanya mslaika.Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu.
Kuwa mjini hayo ni maisha yako , tunazungumzia utaratibu wa nchi sio propaganda za kitotoUsidanganyike kifala wewe mtu wa kuja!! Tuko mjini tumeyaona, usifikiri tunaandika kufurahisha baraza