Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Ruto kupeleka bungeni Jina la Naibu Rais Leo, tetesi ni kwamba atakuwa Kutoka Mombasa Ili kubalance Dini!

Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,

lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya 🐒

Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya 🐒
Hujawahi kutabiri, hata tetesi zako zote hunasa hewa😂😂😂

Makamu ni mwanaune ewe pimbi😂
 
Tuma namba upewe lakiyako

Ila ,punguza uwongo TZ hatuna dini serikalini ,ruto atakuwa nae kafanya kosa kama atakuwa kazingatia dini waziwazi
 
Ni kweli CHADEMA siyo ya Wachagga, bali ni ya Freeman Mbowe akimuwakilisha mkwewe Edwin Mtei. Hao akina Mnyika, Heche, Lissu ni kama braidmaids tu wa kwenye harusi (wapambe)

Kachukue fomu ya kugombea uwenyekiti wa CDM ndiyo utanielewa
Kile ni chama cha siasa ambacho kimefata taratibu zote ndio maana kikaruhusiwa kufanya harakati zake hapa nchini, acheni hoja muflisi, Chadema ni chama cha wanachama kama vyama vingine
 
Hujawahi kutabiri, hata tetesi zako zote hunasa hewa😂😂😂

Makamu ni mwanaune ewe pimbi😂
gentleman,
mie sio mpiga ramli ndugu mshirikina punguza ubabaifu na kimbelembele 🐒
 
Wewe sangoma kabisa, m,ushi, mchonganishi ma mpiga ramli mashuhuri humu
kwahiyo umekaa mahali unasubiri kutabiriwa tu? ushirikina ni utumwa mbaya sana..

angalia wasije kuchukua misukule tukakosa watazamaji JF 🐒
 
Kile ni chama cha siasa ambacho kimefata taratibu zote ndio maana kikaruhusiwa kufanya harakati zake hapa nchini, acheni hoja muflisi, Chadema ni chama cha wanachama kama vyama vingine
Usidanganyike kifala wewe mtu wa kuja!! Tuko mjini tumeyaona, usifikiri tunaandika kufurahisha baraza
 
Waislamu wasipewe uongozi ni wapumbavu haswa...hapo wakenya watakuwa wamebugi sifa kuu ya waislamu mara tu wanapo pata cheo au mali na kuwa matajiri ni ubinafsi na kukosa uzalendo na kuabudu waarabu na wazungu mabeberu.
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu.
Bora kufa na ujinga kuliko kufa mpumbavu kama wewe....huo ni ukweli kamili tujifunze hata kwa matukio ....mfano hapa tanzania tumekuwa na marais 6 toka uhuru watatu wakristo watatu waislamu ....je ule msemo wa baba fisadi mama kahaba mtoto anauza ngada unaujua? je huo msemo unafiti kwa marais wapi kati ya hao ....watazame watoto wa marais waislamu wakati baba zao ni marais na nyenendo zao ...watazame wake zao na nyenendo zao wapo hadi wengine wametaka kulipwa sawa na wanavyolipwa vyeo vya waume zao tena wengine wapo bungeni ila awatosheki...tazama marais wakristo ni ngumu hata kuwajua watoto zao ...uwezi kusikia kitu chochote kiovu kwa watoto wala wake zso kinacho tokana na kiburi cha wazazi wao kuwa marais au viongozi .....chunguza marais wakristo ni kwanini watoto wao huwa awajulikani kipindi baba zao wapo madarakani ....wala wake zao awavumi kwenye mambo ya kipumbavu ...kuna kisa kwenye uislamu kilitokea wakati wa Umar swahaba wa mtume wenu ...alipokuwa kiongozi wa waislamu ...hicho kisa nilikisikia redioni ...kulikuwa na mashindano sijui nchi ya misri kijana mmoja akamshinda mtoto wa kiongozi mkubwa basi yule mtoto akachukia na kumwadhibu huyo kijana ndipo huyo.kijana akafunga safari hadi kwa swahaba wa mtume Umar kushitaki ...alichokifanya Umar haka muhita yule mtoto na baba yake aliye kiongozi...kisha kutoa hukumu kuwa baba wa huyo mtoto wa kiongozi ndiye apigwe viboko badala ya mtoto wake ...umar akasema hiyo hukumu ipo hivyo kwa sababu kiburi cha huyo mtoto kinatoka kwa babaye ....hiyo hukumu hata mimi naiunga mkono ni hukumu safi sana ....sasa ukitazama watoto na wake wa marais waislamu nchini inatosha kabisa kujua ni viongozi wapumbavu na waovu kiasi gani tulionao wa dini ya kiislamu ...sikuzote kiburi cha mtoto wa kiongozi au mke au ndugu dhidi ya wananchi kuna akisi uovu wa huyo kiongozi ...tanzama kwa sasa hapa tanzania chini ya Samia kuna huyu kijana Abdul miguu yake inakwenda kasi kumwaga damu ..kufsnya ufisadi ..kutoa rushwa ...kuunga magenge maovu ya mauaji nk na mama yake yupo kimya kama ajui nini kinatokea ...majuzi tundu lissu kasema wazi kuwa huyo kijana anatoa rushwa upinzani na alikwenda hadi nyumbani kwake kumpatia rushwa na yeye pia ...mbona lisdu ajashitakiwa kwa uongo na kumchafua abdul ....mbona mama yake ajasema chochote .......nijibu mbona atujasikia mashehe wakikemea chochote kuhusu waislamu wenzao walio viongozi wanapo fanya uovu ...bali utasikia wakiwatetea . Ngoja nimuite huyu anaye jidai muislamu FaizaFoxy...mzee akizeeeka ujifanya mslaika.
 
Usidanganyike kifala wewe mtu wa kuja!! Tuko mjini tumeyaona, usifikiri tunaandika kufurahisha baraza
Kuwa mjini hayo ni maisha yako , tunazungumzia utaratibu wa nchi sio propaganda za kitoto
 
Back
Top Bottom