Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hujawahi kutabiri, hata tetesi zako zote hunasa hewa😂😂😂Kutoka Pwani Salim Mvurya anafaa sana kua Naibu wa Rais,
lakini Rais William Ruto kaisha amuua bora akose kura za Mount Kenya kwasabb ya Gachagua, lakini apate na kumaintain kura za wanawake wote , maoneo yote Kenya 🐒
Anne Mumbi Waiguru, Govonor wa kwanza mwanamke Kenya, anakwenda kua Naibu wa Rais wa kwanza mwanamke Kenya 🐒
Makamu ni mwanaune ewe pimbi😂