johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Soma Mithali 16 33
Mungu Anasingiziwa Mengi Sana
Yaani Wakichakachua Ni Mungu?
Endelea kumhesabia akishinda wala hakutambui.One of the most shambolic excuses I have ever heard!
I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.
Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!
Afrika inakosa viongozi.
One of the most shambolic excuses I have ever heard!
I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.
Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!
Afrika inakosa viongozi.
Mithali 16 33 " kura hupigwa kwa siri lakini kila Uamuzi wake hutoka kwa BWANA"One of the most shambolic excuses I have ever heard!
I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.
Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!
Afrika inakosa viongozi.
Shida gani tena mkuu?Endelea kumhesabia akidhinda wala hakutambui.
Wewe unabaki nashida zako yeye na ukoo wske wanageuka matajiri
Hamuna shida mukuu😅Shida gani tena mkuu?
Sijakuelewa mantiki yako, mkuu johnthebaptist . Soma nilichokiandika, then utanielewaMithali 16 33 " kura hupigwa kwa siri lakini kila Uamuzi wake hutoka kwa BWANA"
Hongera sana Rais Mteule Dr. (PhD) William Samoei Arap RutoNaibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupivwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Ruto amesema hayo leo akiwa Kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani
Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33
Source Citizen tv
Na Stalin wa USSR Alisema “ it’s enough people to know there was an election, people who cast the vote decides nothing! People who count the votes decides everything !!One of the most shambolic excuses I have ever heard!
I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.
Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!
Afrika inakosa viongozi.
Mimi imewahi kunitokea nikabadili uamuzi wa nani nimpe kura yangu baada ya kufika kwenye chumba cha kupigia kura yaani nikampigia mwingine sio yule niliyekuwa nimeshafanya uamuzi wa kumpa kura!! Labda vitu vya namna hii ndio vilikusudiwa katika hayo maandiko !!Mithali 16 33 " kura hupigwa kwa siri lakini kila Uamuzi wake hutoka kwa BWANA"
Hata Magufuli tuliambiwa kaletwa na MUNGUYaani Wakichakachua Ni Mungu?
Mungu Anasingiziwa Mengi Sana
Kweli kabisa Magufuli alikuwa chaguo la MunguRutto yuko sahihi Mungu ndio mwamuzi wa mwisho. Tuliokuwepo uchaguzi wa 2015 tunajua kilichotokea Tz
Magufuli alikuwa ni chaguo la MunguHata Magufuli tuliambiwa kaletwa na MUNGU
kabisaMagufuli alikuwa ni chaguo la Mungu
Mnatutisha Sasa, kama ndio hivyo kuna haja ya kupiga kura kweli ?Rutto yuko sahihi Mungu ndio mwamuzi wa mwisho. Tuliokuwepo uchaguzi wa 2015 tunajua kilichotokea Tz