Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dkt. Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Chanzo: Citizen tv
 
One of the most shambolic excuses I have ever heard!

I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.

Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!

Afrika inakosa viongozi.
 
Endelea kumhesabia akishinda wala hakutambui.
Wewe unabaki nashida zako yeye na ukoo wske wanageuka matajiri
 
One of the most shambolic excuses I have ever heard!

I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.

Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!

Afrika inakosa viongozi.

One of the most shambolic excuses I have ever heard!

I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.

Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!

Afrika inakosa viongozi.
Mithali 16 33 " kura hupigwa kwa siri lakini kila Uamuzi wake hutoka kwa BWANA"
 
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupivwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa Kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Source Citizen tv
Hongera sana Rais Mteule Dr. (PhD) William Samoei Arap Ruto
 
One of the most shambolic excuses I have ever heard!

I support Ruto, lakini siyo kwa mantiki yake hiyo. Kura ndiyo njia ya halali. Kama sivyo, isingekuwepo haja ya kupotezeana mabilioni ya pesa na muda kufanya mchakato huo.

Mm niko hapa Bomas, leo siku ya 6 sijalala namhesabia na kumlindia kura!!!

Afrika inakosa viongozi.
Na Stalin wa USSR Alisema “ it’s enough people to know there was an election, people who cast the vote decides nothing! People who count the votes decides everything !!
 
Alaa kumbe 😁

images - 2022-04-24T123124.344.jpeg
 
Mithali 16 33 " kura hupigwa kwa siri lakini kila Uamuzi wake hutoka kwa BWANA"
Mimi imewahi kunitokea nikabadili uamuzi wa nani nimpe kura yangu baada ya kufika kwenye chumba cha kupigia kura yaani nikampigia mwingine sio yule niliyekuwa nimeshafanya uamuzi wa kumpa kura!! Labda vitu vya namna hii ndio vilikusudiwa katika hayo maandiko !!
 
Back
Top Bottom