Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 General Election
Kwamba Mungu ndio aliamua Fashist Jiwe , Mwendakuzimu ndio atangazwe sio ?
 
Uamuzi huo ndio hutoka kwa Mola. Sio huo anaouzungumzia jamaa hapo. It means unapoenda kupiga kura, already huo utashi wa nani umpatie kura yako, Mola anakuwa ameridhia.
 
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
 
Wanasiasa waongo sana huyu Mungu kazi anayo
 
Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
So mkuu una maana Mungu anatetea wanyonge pekee? So matajiri hawana mtetezi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…