Kenya 2022 Ruto: Kura zinapigwa ili kujua matakwa ya watu lakini uamuzi wa mshindi hufanywa na Mungu(Mithali 16:33)

Kenya 2022 General Election
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Source Citizen tv
Kwamba Mungu ndio aliamua Fashist Jiwe , Mwendakuzimu ndio atangazwe sio ?
 
Mimi imewahi kunitokea nikabadili uamuzi wa nani nimpe kura yangu baada ya kufika kwenye chumba cha kupigia kura yaani nikampigia mwingine sio yule niliyekuwa nimeshafanya uamuzi wa kumpa kura!! Labda vitu vya namna hii ndio vilikusudiwa katika hayo maandiko !!
Uamuzi huo ndio hutoka kwa Mola. Sio huo anaouzungumzia jamaa hapo. It means unapoenda kupiga kura, already huo utashi wa nani umpatie kura yako, Mola anakuwa ameridhia.
 
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni
Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
 
Naibu wa Rais wa Kenya ambaye ni mgombea Urais wa nchi hiyo Dr Ruto amesema kwa mujibu wa Bible kura hupigwa ili kupata matokeo lakini Uamuzi wa mwisho nani ni mshindi hufanywa na Mungu wa Mungu wa mbinguni

Ruto amesema hayo leo akiwa kanisani wakati akiwashukuru kwa kufanya uchaguzi kwa amani

Ruto aliwataka waumini wasome Mithali 16:33

Source Citizen tv
Wanasiasa waongo sana huyu Mungu kazi anayo
 
Anakumbuka blanket wakati kumeshakucha tayari? Wakati anapora aridhi za wanyonge wasio na hatia hakujua kuwa kuna Mungu ambaye ndiye mtetezi wa wanyonge?
So mkuu una maana Mungu anatetea wanyonge pekee? So matajiri hawana mtetezi?
 
Back
Top Bottom