Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

Ruto Lands Tanzania: Biashara, Ajira na Ushirikiano Mpya Kwenye Meza

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Rais wa William Ruto ameanza ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuimarisha uhusiano kati ya majirani hawa wa Afrika Mashariki. Ziara hii inaonekana kuwa muhimu sana hasa kwa masuala ya biashara, ajira na maendeleo ya kikanda.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Tanzania, Ruto atakutana na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan ambapo watafanya mazungumzo ya ana kwa ana kabla ya kuongoza majadiliano ya ngazi ya juu (high-level bilateral talks) pamoja na delegations kutoka nchi zote mbili.

Agenda kuu iko clear kuimarisha cooperation kwa sectors muhimu kama biashara (trade), miundombinu (infrastructure), usafiri (transport), pamoja na uwekezaji (investment). Hii ni move ambayo inaweza kufungua opportunities mpya kwa wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania, hasa kwa SMEs na vijana wanaotafuta ajira.
Kwa ground, wananchi wengi wanatarajia kuona matokeo ya real impact si tu makubaliano ya viongozi. Swali kubwa ni: Je, hii partnership italeta nafuu kwa mwananchi wa kawaida? Au itabaki kuwa talks za viongozi bila change kwa maisha ya watu?

Wakenya na Watanzania sasa wanasubiri kuona kama ziara hii italeta “win-win situation” ama ni ile ile ya diplomatic talks bila matokeo tangible.

Source : NTV
 
Amekuja kutuomba msamaha kijanja. Maana ametunanga sana ngeke huyu
 
Back
Top Bottom