Ruto: Mahakama ya Arusha inaniyumbisha, Waamue kuruhusu kuwafurusha Jamii ya Mau Forest au Kenya ijitoe uanachama

Mahakama ipo kwetu lakini wamasai wa ngorongoro walifukuzwa Kwa fimbo kama ng'ombe na mama Samia lakini hakuna mtu yeyote aliyeenda mahakamani kuzuia.kweli wakenya wametuzidi Kila kitu
 
Raha ipi utakayoishi ukitolewa kwenye eneo lako la asili?

Je wameenda Kwa hiari ama Kwa lazima?
Ngorongoro crater siyo eneo la asili la binaadam yeyote.

Wametolewa kwa hiyari na sasa wanafurahia maisha mapya. Aliyekataa hajatolewa lakini haruhusiwi kujenga huko crater, akae na simba na Ng'ombe zake wawe chakula cha fisi.
 
Mahakama ipo kwetu lakini wamasai wa ngorongoro walifukuzwa Kwa fimbo kama ng'ombe na mama Samia lakini hakuna mtu yeyote aliyeenda mahakamani kuzuia.kweli wakenya wametuzidi Kila kitu
Muongo mkubwa wewe, weka ushahidi kama u mkweli.
 
Ngorongoro crater siyo eneo la asili la binaadam yeyote.

Wametolewa kwa hiyari na sasa wanafurahia maisha mapya. Aliyekataa hajatolewa lakini haruhusiwi kujenga huko crater, akae na simba na Ng'ombe zake wawe chakula cha fisi.
Mbona unatetea waarabu na sio wamasai wewe bibi?

Tangu tunakula Leo hii ndo mmejua kuwa wamasai hawapaswi kuishi ngorongoro? Acheni unaa!! Au mlikodiwa nn?
 
Kama wanaharibu mazingira hata mimi namuubga mkono awafurushe tu, kwani mahakama ndiyo nini huku mazingira yanaendekea kuharibika?.
Ni sawa na wale ndugu zetu wanaoishi kwenye hifadhi, inabidi waame ili kulinda hifadhi.
 
Ni sawa na wale ndugu zetu wanaoishi kwenye hifadhi, inabidi waame ili kulinda hifadhi.
NO!.
Hawa wa kwetu hawalimi, hawapandi, hawavuni na hawafanyi jambo lolote la maendeleo, ukiangalia hawa wa kwetu hadi simba, milia, nyari, swala nk wanakuja kulala na ng'ombe kwenye mahame yao.

Huoni ekolojia ilivyo tofauti na wale?.
 
Rutto anajaribu kuingilia Uhuru wa mahakama akitumia vitisho kuwa atajitoa pale maamuzi asiyoyapenda yatakapotolewa, hii sio sawa kabisa.

Wanasiasa waache kuzishinikiza mahakama zitoe hukumu za kuwafurahisha
 
NO!.
Hawa wa kwetu hawalimi, hawapandi, hawavuni na hawafanyi jambo lolote la maendeleo, ukiangalia hawa wa kwetu hadi simba, milia, nyari, swala nk wanakuja kulala na ng'ombe kwenye mahame yao.

Huoni ekolojia ilivyo tofauti na wale?.
Ile kuzaliana na kuongeza makazi, kuni za kupikia n.k hii pia ni changamoto
 
Mbona watu wa loliondo hawakuenda kushtaki hapo maakamani au hawaijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…