“ Ruto must go “ walisikika Wakenya wakati wa mechi yao dhidi ya Gabon, huku Mbunge akifurushwa na mashabiki uwanjani

“ Ruto must go “ walisikika Wakenya wakati wa mechi yao dhidi ya Gabon, huku Mbunge akifurushwa na mashabiki uwanjani

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Leo jioni pale Nyayo Stadium, kulipigwa mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 kati ya wenyeji Kenya Vs Gabon.

Kabla, wakati na baada ya mechi Wakenya wengi walisikika wakiimba kwa sauti, “Ruto must go” wakijaribu kupaza sauti kutokana na kutokukubaliana na utawala wa Rais William Ruto.

Wakenya wameungana bila kujali tofauti zao za kikabila wala kidini.

Katika hali nyingine, Mbunge mmoja ambaye alijaribu kuwatuliza wananchi hao aliishia kufurushwa jukwaani na kutolewa uwanjani chini ya ulinzi mkali wa polisi, wananchi walitaka kumpiga.

Mwisho wa siku mechi iliisha kwa Kenya kupigwa 2-1 kwa mabao mawili ya Pierre Aubameyang huku lile goli la Kenya likifungwa na Michael Olunga.
IMG_5893.jpeg
IMG_5894.jpeg
 
Back
Top Bottom