The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Rais wa Kenya William Ruto amesema yuko tayari kushindwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2027 endapo hatatimiza matarajio ya Wakenya, akisisitiza kuwa hatashikilia madaraka kwa nguvu iwapo wananchi hawataridhishwa na utendaji wake.
Akizungumza Jumamosi katika ziara yake ya Kaunti ya Nyeri, eneo la Othaya, Rais Ruto amewaambia wananchi kwamba bado ana muda wa kutekeleza ahadi alizozitoa, huku akiwaomba wapinzani wake kumpa nafasi ya kufanya kazi badala ya kupiga siasa kila wakati.
“Tumeja kupanga mambo ya watoto wetu; tuwachane na siasa ya kubishana, tufanye kazi. Mambo ya siasa yako na siku. Si mlitupatia kazi? Si kila mtu ako na yake? Si wakati wa mtihani utafika? Mimi nimejenga barabara, nimetengeneza kilimo... ikifika wakati wa kusahihisha mtihani, mimi niko tayari... nikipita mtihani yenu, sawa, nisipopita mtihani yenu, mimi naenda nyumbani kulima,” amesema Rais Ruto mbele ya umati wa wakazi wa Nyeri.
Katika ziara hiyo, Rais amekagua utekelezaji wa miradi ya serikali ikiwa ni pamoja na ujenzi wa makazi nafuu 468 katika eneo la Ruring’u, pamoja na ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Ruring’u.
Aidha, amezindua soko la kisasa la Othaya linalogharimu Ksh.325 milioni, ambalo linatarajiwa kuwa na vibanda 1,000, vyumba vya baridi kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa, na huduma nyingine muhimu kwa wafanyabiashara wa eneo hilo.
=======
President William Ruto says he is ready to face his competitors at the ballot in 2027.
During his Saturday tour of Nyeri County in Othaya, President Ruto told Nyeri residents that he is ready to go home in 2027 if he fails to meet their expectations.
The president told his detractors to allow him to deliver his promises to Kenyans before they make a decision at the ballot in the next General Election.
"Tumekuja kupanga mambo ya watoto wetu; tuwachane na siasa ya kubishana, tufanye kazi. Mambo ya siasa yako na siku. Si mlitupatia kazi? Si kila mtu ako na yake? Si wakati wa mtihani utafika? Mimi nimejenga barabara, nimetengeneza kilimo... ikifika wakati wa kusahihisha mtihani, mimi niko tayari... nikipita mtihani yenu, sawa, nisipopita mtihani yenu, mimi naenda nyumbani kulima,” he said.
In his Saturday itinerary, the president made several stopovers in the County where he inspected ongoing government projects, including the construction of the 468-unit Ruring’u Affordable Housing in Nyeri Town and the Ruring'u Stadium.
He also launched government projects such as Ksh.325 million Othaya Modern Market in Nyeri, which he said would comprise 1,000 stalls, cold rooms, and ICT hubs.
Citizen Digital