Kenya 2022 Ruto: Nina miezi sijazungumza na Rais Kenyatta

Kenya 2022 General Election
Walibana na Uhuru wakaachia kwa Raila. Ruto akapigwa chini awamu ya pili ya Uongozi wa Uhuru. Akawa Naibu wa Rais koti tu. Narudia the 5th hawezi fanikiwa kama Rais wa Kenya kama hatatafuta namna ya kuyajenga na Kenyatta, Odinga na Moi families. Hawezi iendesha nchi ya Kenya kwa kumtegemea Gachaua ni kujidanganya na kujilisha/kujijaza upepo tu.
Mkuu kama ameweza kuwaweka chini kwenye uchaguzi kitamshinda kitu gani?. Kwa sasa kina Uhuru wanamuhitaji zaidi Rito kuliko Ruto anvyowahitaji.
 
Wakenya kwenye mambo ya usalama ni wajinga wajinga bongo ukienda kinyume na system hutoboi hata uwe nani huyu ruto atawatoa roho dadek
Hivi ni kweli au kuna agenda ya siri kati ya Rutto na Uhuru. Kama kweli Uhuru supported Odinga with good faith, then Rutto ajiandae. (Itakuwa ni sawa na JPM na JK)
Ak
 
Umesma vizuri. Kuna mfumo Kenya unaweza kupuuza familia ya Kenyatta, Odinga, Moi and the likes eti wawe replaced na watoto wa mama mbogamboga na bodaboda. Kama huo si ujinga utaita nini? The 5th mwenyewe si kasema jana isingekuwa juhudi za Raila kusingekuwa na Demokrasia ya yeye kuwa Rais. Ama atakataa hakushikwa mkono na Moi katika hatua flani ya maisha yake na ndio masna leo ni the 5th na kwa vile ni Kalenjii mwezake. Leo ajifanye kusahau hayo yote na kujidanganya na kauli ya hustula nation.
Si lazima kila Rais afuate matakwa ya mfumo, wanaofuata matakwa ya mfumo ni wale vilaza na wazembe ambao actually huwa hawana akili kivile wala uwezo kiuongozi ila huwekwa tu. Ruto sio mmojawapo ya hao

Akiamua anaweza pindua meza hii dunia hakuna kinachoshindikana na hatokuwa wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo. Nadhani Waziri Mkuu wa Ethiopia umeona alichofanya, then reaction yao iliyotokea na response yake aliyotoa tena
 
Hiyo ya Ethiopia imenipita not intrested anyway nchi inayoachia raia wake wataangetange duniani kama mbuzi wa albadiri wasio na mnyewe. Nasubiri kwa shauku nione mtananve wa Kenya. Tayari Ateoli kaitwa stupid fool and no regret to say that. Ukimuangalia Atwooli kama mtu mmoja umeshashindwa kabla ya kuanza.
 
India ina raia wanatangatanga dunia nzima, unaizidi nini wewe Tanganyika mkaa nyumbani. Yani umekaa umetulia ukiamini Ruto aliyewashinda Kenyatta na Odinga kwa pamoja akiwa sidelined aje ashindwe na kina Atwoli akiwa Rais.
My friend, Ruto yupi unamzungumzia. Huyu huyu mastermind wa kuiba kura chaguzi zilizopita, huyu aliyekuwa na kesi The Hague, huyu mjanja mjanja? Utashangazwa kama ulivyoshangazwa na matokeo ya uchaguzi, ukabila matumaini kwa blah blah zenu zilizofeli mahakamani
 
Ngoja kwanza azalishe maadui wa ndani wa mrengo wake kwenye kugawana vyeo. Kama ilivyo rahisi kuwarubuni hustulers kwa maneno matamu ndivyo ilivyo rahisi kwa hustulers kukugeuka

Wahindi mnao walamba miguu na kuwasujudia hapa kila siku utawalinganisha na hao Waethiopia wanaokamatwa kila siku kwenye fuso kama mifugo ya mnadani.
 
Ruto mpaka anafika hapa sio mjinga kama unavyodhani. Haya unayosema hapa anayajua sana sasa sijui unataka ajiuzulu ama namna gani
 
Ruto mpaka anafika hapa sio mjinga kama unavyodhani. Haya unayosema hapa anayajua sana sasa sijui unataka ajiuzulu aa namna gani

Ninachojua nimemona picha kadhaa akilia . Ajiuzulu kwa nini wakati amechaguliwa kwa uwezo wa mungu wake.
 
Ogopa sana mtu anaejificha kwenye kivuli cha Kumsifu Mungu kwamba ni Mungu amtendea

Naomba niseme kwa kiswahili cha kikenya uelewe

Ogopa sana hiyo mtu inakaa kujifichia Mungu kwamba ni ama amefanya yeye akuwe Rais kwa nchi

Time will tell all of us
 
Ruto ni mhuni, na mhuni hachezewi kizembe hivyo that's why nashangaa mtu anamtaja Atwoli hapa
 
Kwenye Mungu ulitakiwa ianze na herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom